×


Spoti XtraKabwili: Nitaipa Ubingwa Yanga

LICHA ya baadhi ya mashabiki wa Yanga kutokuwa na imani na kipa wao Ramadhani Kabwili, mlinda mlango huyo amesisitiza kwamba yeye ndiye atakayewapa ubingwa.  …

SOMA ZAIDI


Ozil Atupiwa Virago Arsenal

MEZUT Ozil amegoma kuondoka Arsenal licha ya kuelezwa hatakiwi na kocha wake, Unai Emery. Emery amekuwa hafurahishwi na kiwango cha Ozil wakati analipwa mshahara mkubwa…

SOMA ZAIDI

Yondani, Ajibu Wakinukisha Yanga SC

BEKI Kelvin Yondani jana kwenye mechi yao na Simba alikataaa unahodha baada ya nahodha mkuu, Ibrahim Ajibu kutolewa. Sekeseke la mastaa hao wawili lilianza kuonekana…

SOMA ZAIDI

Kakolanya ampeleka straika Simba

UNAMKUMBUKA yule straika aliyewapiga chenga mabeki wote wa Yanga pamoja na kipa wao matata, Beno Kakolanya kabla hajafunga? Kama umemsahau basi huyo ni Vita lis…

SOMA ZAIDI

Viporo vyampasua kichwa Mbelgiji

KOCHA mkuu wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji ameweka wazi kitu kinachomchanganya kwa sasa ni ugumu wa ratiba ya timu yake hasa kwenye ligi…

SOMA ZAIDI

Yanga Yampa Beno Masharti Mazito

YANGA imemtaka Beno Kakolanya kuwathibitishia kwa maandishi kwamba hatakuwa na madai yoyote endapo wakiridhia kutengua mkataba wake. Lakini mwanasheria wa kipa huyo,Leonard Richard akawajibu fasta…

SOMA ZAIDI

Fatuma: Nina Maboifrendi Kibao

SERENGETI Lite wameinoge­sha Ligi Kuu ya Wanawake ambayo msimu huu im­ekuwa na mengi ya kuvutia. JKT Queens ndiye bingwa mtetezi wa ligi hiyo, anazidi kuonyesha…

SOMA ZAIDI

Kocha Awachenjia Wachezaji Simba

KIPIGO cha mabao 2-1 walichokipata kutoka kwa Bandari juzi kiliwatokea puani baada ya jana Kocha Patrick Aussems kuwaanika juani kwa zaidi ya dakika 60 walipokuwa…

SOMA ZAIDI


Kazi kwa Ozil Kusuka au Kunyoa

MEZUT Ozil amekuwa na wakati mgumu kutokana na kusugua benchi kwa muda mrefu na sasa kumeibuka taarifa kuwa hatakiwi na kocha wake kwenye klabu yake…

SOMA ZAIDI


SAMATTA ALIVYOWATEKA WAZUNGU

MBWANA Samatta amezidi kung’ara kwenye vyombo mbalimbali vya habari barani Ulaya kutokana na uwezo wake ndani ya uwanja. Samatta ambaye anaichezea KRC Genk inayoshiriki Ligi…

SOMA ZAIDI
spotiXtra


Global TV Online