×

Spoti Xtra

Lwanga: Tutawafunga Tena Al Ahly Kwao

KIUNGO Mkabaji wa Simba, Mganda, Taddeo Lwanga, amewasifu wapinzani wao Al Ahly ya Misri huku akitamba kuchukua pointi tatu mara...

READ MORE

Kocha Simba Apata Mashaka na Lokosa

NAELEZWA kuwa kocha mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa hajavutiwa na mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Junior Lukosa kutokana...

READ MORE

Yacouba Amerudi Huko Yanga, Kazi Mnayo

DAKTARI wa Yanga Nahumu Muganda amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kiungo wao mshambuliaji Mburkinabe Yacouba Songne yupo...

READ MORE

Chama Aipa Presha Yanga Ligi Kuu Bara

KIUNGO fundi raia wa Zambia Clatous Chama ametamba kuwa wana malengo makubwa kwenye msimu huu na kubwa ni kuutetea Ubingwa...

READ MORE

CAF Yaitengea Namungo Mil 635

KLABU ya Namungo, ipo kwenye hatua za kujihakikishia kupata dola 275,000 (zaidi ya Sh milioni 635) kutoka Shirikisho la Soka...

READ MORE

Spoti Xtra Lamwaga Tiketi za Simba vs Al Ahly

TIMU ya Masoko kutoka Kampuni ya Global Group ambao ni wachapishaji wa magazeti namba moja kwa habari za michezo kupitia...

READ MORE

Saido Nje Mwezi Mzima Yanga

NYOTA mpya kunako kikosi cha Yanga, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ raia wa Burundi, imebainika kwamba atakaa nje ya dimba kwa takribani...

READ MORE

Pogba Ampasua Kichwa Solskjaer

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amefunguka kuwa staa wake Paul Pogba ataendelea kuwa nje, huku beki Eric Bailly...

READ MORE

Carlinhos Apewa Majukumu Mapya Yanga

SASA rasmi Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amembadilishia majukumu kiungo wake raia wa Angola, Carlos Fernandez ‘Carlinhos’ kwa...

READ MORE

Gomes Ampa Mchongo Luis, Chama Simba SC

KATIKA kuelekea mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa,...

READ MORE

Kaze: Tutaifunga Simba, Mbeya City Wajipange

CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa licha ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba kupelekwa...

READ MORE

Washindi Chemsha Bongo ya Spoti Xtra Wakabidhiwa Zawadi Zao

NEEMA imezidi kuwashukia wasomaji wa Gazeti la Spoti Xtra ambalo linazidi kutoa zawadi mbalimbali kupitia chemsha bongo inayoendeshwa na gazeti...

READ MORE

War in Dar ya Simba Yawatisha Wazimbabwe

ILE kauli mbiu ya Simba kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum ijulikanayo kama...

READ MORE

Kaze Atangaza Hali ya Hatari Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, ameapa kuanza kwa kishindo mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara watakapopambana na Prisons...

READ MORE

Beki Simba: Saido ni Habari Nyingine

BONIFACE Pawasa, beki wa zamani wa Simba, amesema kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Saido Ntibazonkiza ni habari nyingine kwenye soka...

READ MORE

Pacha wa Saido Kutua Yanga, Amekipiga Ufaransa

YANGA wapo siriaz sana katika usajili huu wa dirisha dogo huku malengo yao makubwa yakiwa ni mwisho wa msimu huu...

READ MORE

Senzo Afunguka Kuondoka Yanga SC

MSHAURI wa Yanga kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo ya klabu hiyo, Senzo Masingiza, amefunguka juu ya kuondoka kwake hapa nchini...

READ MORE

Simba Hasira Zote Kwa Majimaji Leo Kwa Mkapa

VITA kubwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar leo Jumapili ni kati ya mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho la Azam...

READ MORE

Tuyisenge Afunguka Kutua Yanga SC

  HATIMAYE mshambuliaji wa APR ya nchini Rwanda, Jacques Tuyisenge, amefungukia dili lake la kujiunga na Yanga ambayo amekuwa akihusishwa...

READ MORE

Simba Yaahidi Kupindua Uwanja wa Mkapa

LICHA ya Simba jana kufungwa bao 1-0 dhidi ya FC Platinum, lakini benchi la ufundi na nyota wa kikosi hicho...

READ MORE

Mukoko Aleta Jembe la Maana Yanga

KAMA mambo yakienda sawa, basi usishangae kuona Yanga wakimshusha beki Ousmane Adama Ouattara raia wa Ivory Coast ambaye anakipiga kwenye...

READ MORE

Aliyewaleta Mukoko, Tuisila Awapa Yanga Jembe Jipya

HABARI ni kwamba, Kocha wa AS Vita ya DR Congo, Florent Ibenge ambaye alihusika kwenye dili za wachezaji Tuisila Kisinda...

READ MORE

Simba Wanaiwaza FC Platinum Desemba 23

KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameweka wazi kwamba kwa sasa akili zake zipo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

Mbelgiji Ashusha Beki, Straika Simba

BAADA ya kukamilisha usajili wa kiungo Mgan-da, Thaddeo Lwanga, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amependekeza usajili wa beki na...

READ MORE

Nahodha AS Vita Awapa Mchongo Yanga FC

KIUNGO wa AS Vita ya DR Congo, Jeremy Mumbere, amesema Yanga itatisha zaidi kama itafanikisha dili la kumsajili mshambuliaji wa...

READ MORE

Carlinhos Afanyiwa Vipimo Yanga SC

KUFUATIA kusumbuliwa na mejeraha ya nyonga kwa muda mrefu, Kiungo wa Yanga, Carlos Carlinhos amefanyiwa kipimo cha MRI ili kubaini...

READ MORE

Sarpong: Nacheza Kwa Maelekezo Ya Kocha

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, ameibuka na kusema hawezi kupoteza muda wake kuwafi kiria Sarpong: Nacheza kwa maelekezo ya...

READ MORE

Saido Aanza Kuitisha Simba

SUPASTAAmpya wa Yanga, Mrundi, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, amewatisha wapinzani wao, Simba kwa kuwaambia wakikutana uwanjani atapambana kwa ajili ya kufanya...

READ MORE

Saido Akabidhiwa Jukumu Zito Yanga

KOCHA wa Yanga, Cedric Kaze, amesema amemuagiza kiungo mpya wa timu hiyo, Said Ntibazonkiza ‘Saido’ kuangalia kwa umakini namna viwanja...

READ MORE

Ndemla Amgaragaza Mukoko wa Yanga

SAID Ndemla, kiungo wa Simba akiwa amecheza mechi tano kati ya 12 za timu hiyo msimu huu, amehusika kwenye jumla...

READ MORE

Simba, Yanga Washindana Zawadi ya Spoti Xtra

BAADA ya wiki iliyopita kushuhudia shabiki wa Simba, Peter Tarimo na wa Yanga, Fatuma Juma, wakifanikiwa kuibuka na zawadi kupitia...

READ MORE

Kiungo wa Plateau United Afunguka Nakuja Yanga

KAULI aliyoitoa kiungo fundi wa Plateau United ya Nigeria, Isah Ndala akisema amekubali kutua Yanga endapo klabu hiyo itafuata taratibu...

READ MORE

Yanga Kuwashusha Majembe Manne Dirisha Dogo

KUELEKEA kwenye usajili wa dirisha dogo litakalofunguliwa Desemba 15, mwaka huu na kufungwa Januari 15, mwakani, Yanga imejipanga kuboresha eneo...

READ MORE

Kagere Agoma Kubaki Simba, Watatu Wamfuata

IMEFAHAMIKA kuwa, upo uwezekano mkubwa wa mastaa wanne kuondoka na wengine kutoongeza mikataba ya kuendelea kuichezea Simba pindi usajili wa...

READ MORE

Kaze: Yacouba Anahitaji Muda!

WAKATI mshambuliaji wa Yanga, Yacouba Songne akicheza dakika 311 bila kufunga, kocha mkuu wa kikosi hicho, Cedric Kaze amesema bado...

READ MORE

Azam FC Yazitaka Pointi 3 za Gwambina

  KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati, amefunguka kuwa maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi ya Gwambina FC unaotarajiwa kupigwa...

READ MORE

Sven Awatahadharisha Wachezaji Wake

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amewataka wachezaji wake kucheza kwa tahadhari katika kusaka matokeo ndani ya uwanja kwani wana...

READ MORE

Simba! Mlisema Plateau? Sasa Waleteni Wengine

LICHA ya kubwana mbavu nyumbani, lakini imekuwa faida kubwa kwa Simba na kusonga hatua ya kwanza ya michuano ya Ligi...

READ MORE

Kaze Ampeleka Saido First Eleven Yanga

AKIFANYA mazoezi kwa siku tatu tangu atue hapa nchini kuitumikia Yanga, kiungo mshambuliaji mpya wa kikosi hicho, Said Ntibazonkiza ‘Saido’,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Baada ya...

READ MORE