×

Latest News

Si Nay wa Mitego tu… Hata Hawa ‘Walitumbuliwa’

Makala: Andrew Carlos MWISHONI mwa wiki iliyopita Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lilitoa tamko rasmi la kuufungia Wimbo wa Shika...

READ MORE

Msuva, Juma Abdul wawekwa nje Yanga

Mchezaji wa Yanga, Simon Msuva. Suleiman Hassan, Zanzibar MASHABIKI wa Yanga Kisiwani Pemba, wameanza kukumbwa na hofu kubwa baada ya...

READ MORE

Usisikie wewe, Ngumi si Mchezo!

Niwaambieni bila kumumunya wala figisufigisu kuwa kuanzisha mpambano wa ngumi ni jambo la hatari sana. Kuna watu wengi ukipita mitaani...

READ MORE

Happy Birthday Mh. Paul Makonda

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. LEO ni siku muhimu sana kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda...

READ MORE

Mkuki Moyoni Mwangu – 43

KEVIN yupo New York akimtafuta mchumba wake, Catarina, ambaye amepotea katika mazingira ya kutatanisha, nyuma ya pazia, binti huyo aliyejipatia...

READ MORE

Hatimaye jina la albamu mpya ya Kanye West lajulikana

Kanye West. RAPA ‘grade one’, Kanye West hatimaye ameonesha kweli kuzima bifu na rapa mwenzake Wiz Khalifa baada ya kuliweka...

READ MORE

Jokate, Kiba Hakuna Cha Singo Wala Nini

Stori: Hamida Hassan ALI KIBA na Jokate wanaonekana kuachana huku wakiwa wameacha deni kwa mashabiki wao kwani baadhi walioongea na safu hii walieleza kuwa, imekuwaje wameshindwa...

READ MORE

Simulizi ya AY: Aeleza alivyowaunganisha Vivian na Complex

Wiki iliyopita tuliishia pale AY alipoamua kuukubali ukweli juu ya kifo cha baba na mama yake na kuamua kuendelea na...

READ MORE

Je unaijua thamani ya Dola moja kwa nchi za Africa?

Matumizi ya Dola za Kimarekani yamekuwa yakiongezeka siku hadi siku, hii imepelekea kuongezeka kwa thamani ya pesa hiyo kulinganisha na...

READ MORE

Mke atimuliwa msiba wa mumewe

Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI D AR ES SALAAM: Mjane aliyejitambulisha kwa jina la Salome Efraim (32), mkazi...

READ MORE

kama hujafikishwa, paza sauti usikike!

HABARI za leo wapendwa wasomaji wa safu hii, maana tunapozungumza, tayari tupo katika mwezi wa pili ndani ya mwaka mpya....

READ MORE

Malinzi: Tumekosea kuiruhusu Azam

Said Ally, Dar es Salaam KUFUATIA malalamiko ya klabu kadhaa za Ligi Kuu Bara juu ya Azam FC kuruhusiwa kwenda nchini...

READ MORE

Chadema Kumshtaki Nape kwa Wananchi Kuhusu TBC

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrosia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akitoa taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani)....

READ MORE

Airtel Fursa yawafikia vijana Mkoani Manyara‏

Mkuu wa wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Crispin Meela akiongea na vijana (pichani hawapo) wakati wa uzinduzi wa semina ya...

READ MORE

Hukumu Kuhusu Bomoabomoa Kutolewa Kesho

Wakili wa mlalamikaji anayesikiliza kesi hiyo, Abubakar Salim, akihojiwa na wanahabari baada ya kutoa taarifa kwa wakazi waliobomolewa nyumba zao...

READ MORE

Penzi Kabla Ya Kifo-15

  Msichana bilionea, Elizabeth Marcel anasafiri kwenda Morocco, huko, anakutana na mwanaume mzuri wa sura aitwaye Rasheed, anachanganyikiwa mno, ghafla...

READ MORE

Cheki kifaa kipya cha Wiz Khalifa

Wiz Khalifa akiwa na mpenzi wake mpya. TANGU aachane na mchumba wake, Amber Rose kwa muda mrefu staa wa Hip...

READ MORE

Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-16

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Baba Pili… uwe basi baba Pilima moja kwa moja,” alisema mama Pilima akiwa na maana yake....

READ MORE

Janet Jackson akanusha kuwa na Kansa ya Koo

Janet Jackson. DADA wa aliyekuwa mfalme wa muziki wa Pop, marehemu Michael Jackson, Janet Jackson ameamua kuzima tetesi zilizokuwa zinaendelea...

READ MORE

Mercy awafanyia sapraiz watoto wake

Mercy amsapraiz mtoto wake AKIWA ametimiza mwaka mmoja tu tangu azaliwe, mkongwe kunako filamu Naija, Mercy Johnson-Okojie juzi kati aliamua...

READ MORE

Treni iliyobeba tindikali yapata ajali

Queensland, Australia Treni ya mizigo, iliyokuwa imebeba lita 200,000 za tindikali hatari ya Sulphuric Acid, usiku wa kuamkia leo Jumatatu...

READ MORE

Wazungu wamfuata Samatta Dar

Ibrahim Mussa na Martha Mboma WAKATI timu tatu kutoka nchi za Ufaransa na Ubelgiji zikiweka ofa mezani kwa ajili ya...

READ MORE

Julio: Ni fedheha kutoa sare na Simba

Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’. Johnson James, Shinyanga KOCHA wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema ni fedheha...

READ MORE

Hatimaye Tiwa Savage amuanika sura mwanaye

Staa wa muziki kutoka Naija, Tiwa Savage. BAADA ya kukaa miezi kadhaa bila kuonesha sura ya mtoto wake tangu ajifungue,...

READ MORE

Mtoto awarudisha Amber Rose na Wiz Khalifa

Wiz Khalifa akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose. INAWEZEKANA! Staa wa Hip Hop, Wiz Khalifa pamoja na aliyekuwa mpenzi...

READ MORE

Arsenal yapigwa 4-0 na Southampton

Kiungo wa Southampton Steven Davis (kulia)akiwania mpira na kiungo mkabaji wa Arsenal Mathieu Flamini kwenye mtanange huo.Cuco wa Southampton akishangilia goli la kwanza...

READ MORE

Mkuki Moyoni Mwangu -15

JUHUDI za kumpata Catarina ili apelekwe wodini kuonana na Kevin zimegonga mwamba, binti huyo ni mgonjwa mahututi, amelazwa katika Hospitali...

READ MORE

U.T.I janga lisilopewa kipaumbele

Imekuwa ni kawaida kuambiwa fulani anaumwa U.T.I na watu wanachukulia ni suala la kawaida kutokana na kuwakumba watu wengi na...

READ MORE

Joto la Mapenzi 52

ILIPOISHIA: “Yaani nakumbuka wakati nimelala nilipapaswa na kufumbua macho na kumuona Ambe na kuzungumza naye, toka hapo sikulala mpaka nilipokuja...

READ MORE

Bilioni 131/- zatengwa elimu bure

RAIS John Magufuli amewahakikishia Watanzania kuwa fedha kwa ajili ya kutimiza ahadi ya kutoa elimu bure kwa shule za msingi...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-6

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Anko, Mwanamaua anasema amesahau kitambaa chake cha kichwani chumbani kwako kitandani, kasema nipe nimpelekee ataulizwa na mama...

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-26

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Dorcas ambaye hakujua kama alikuwa amepata ujauzito alipokuwa akijisikia ovyo huku pale nyumbani kwao...

READ MORE

Vodacom Tanzania yaja na kampeni ya ‘life is better’

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao(watatu toka kushoto)akiwa ameshikana mikono na baadhi ya viongozi wa taasisi zilizowezeshwa na Kampuni hiyo...

READ MORE

Niliolewa na Mganga kwa Tamaa ya Cheo

ILIPOISHIA: Nilisimamisha gari ili nipate uhakika na kauli ya babu kuwa anajua vitu vingi pia aliwahi kumiliki magari. Tulipishana babu...

READ MORE

Jini Mweusi 58

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam kufuatia kupotea mfululizo kwa machangudoa katika mazingira ya kutatanisha. Taharuki kubwa inazuka...

READ MORE

Dereva achinjwa kikatili

Salum Masoud enzi za uhai wake.   Na Boniphace Ngumije INASIKITISHA! Salum Masoud (35), mkazi wa Kijichi, Rufiji mkoani Pwani...

READ MORE

Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 39

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Sasa ni kwa nini afanye hivyo?” Mtu mwingine aliuliza kwa mshangao. Faiza akabetua mabega yake. “Sababu yake...

READ MORE

Usafi wapamba moto jijini Dar

Mmoja wa vijana hao akiondoa takataka. KUFUATIA agizo la Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Mawaziri 15 tu!

Na Daniel Mbega WAKATI uchumi wa Tanzania ni mdogo, baraza la mawaziri limeonekana kuwa kubwa na mzigo kwa taifa, tofauti...

READ MORE