×

Latest News

SAFAREE: MINAJ ALINICHOMA KISU AKITAKA KUNIUA

MWANAMUZIKI wa Marekani na Jamaica, Safaree amedai kwamba msanii na mwanamitindo wa Marekani,  Nicki Minaj,  alimchoma kisu sehemu kubwa na kusababishwa akimbizwe hospitali....

READ MORE

Kunguru Watumika Kuzoa Uchafu Nchini Ufaransa

  BUSTANI ya Puy du Fou katika mkoa wa Vendee magharibi mwa Ufaransa, inawatumia kunguru kukusanya takataka. Katika mapipa maalum...

READ MORE

Miji 5 Iliyopotea Zama za Kale Yaonekana

1. Helike Huu ni mji unaokisiwa kuwa ndiyo Atlantis ambao uliteketezwa kwa hasira ya Poseidon — mungu wa baharini kwa...

READ MORE

USIKOSE KIPINDI KIPYA, ONLINE TUITION GLOBAL TV, JUMANNE SAA 8 MCHANA

Global TV Online, kituo chako bora cha runinga ya mtandaoni, kinazidi kukudondoshea vitu exclusive ambavyo huwezi kuvipata sehemu nyingine yoyote...

READ MORE

Makonda Aviwezesha Vikundi Vya Jogging

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ameanza rasmi mpango wa kuviwezesha kiuchumi vilabu vya...

READ MORE

Wadudu 7 Wenye Uerevu, Ufahamu Zaidi Duniani

Miongoni mwa wadudu wengi duniani, wapo wadudu kadhaa wanaoeleweka kirahisi kwa binadamu, ambao wana uerevu unaoonekana kwa binadamu au uliofichika...

READ MORE

ESTHER MATIKO APEWA ONYO MAHAKAMANI

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuonya Mbunge wa Tarime Mjini (Chadema), Esther Matiko, kwa kushindwa kuwasiliana na mdhamini wake. Onyo...

READ MORE

Abdi Banda & Mkewe Zabibu Kiba Walivyocheza Blues, Watu Hoi – Video

Baada ya ndoa na harusi kubwa ya Msakata Kabumbu, Abdi Banda, na Mdogo wa Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba anayeitwa...

READ MORE

MJEMA AKABIDHIWA VYOO VYA KISASA NA TOTAL TANZANIA

…Akimkabidhi rasmi vyoo  Mjema. MKUU wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amekabidhiwa vyoo vya kisasa vyenye matundu 12 kwa Shule...

READ MORE

Trump na Mitindo Yake 6 ya Kufurahia Maakuli Yake

KAMA binadamu wengine, Rais Donald Trump wa Marekani ana mapenzi au mitindo yake ipatayo sita ya kuurahia chakula au maakuli...

READ MORE

OFISA TRA ANAYETUHUMIWA KUMILIKI MAGARI 19, ALIANZA KAZI AKIWA NAYO

Ofisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi ( wa pili mbele) anayetuhumiwa  kumiliki magari 19 yenye...

READ MORE

Mayweather Amvaa 50 Cent ‘Unapenda Sana Kiki, Usiniazime Tena Fedha’

MWANAMASUMBWI maarufu duniani wa Marekani, Floyd Mayweather,  ameamua kuamsha bifu na swahiba wake wa zamani, 50 Cent, baada ya rapa...

READ MORE

MANARA Atoa CV ya Kocha Mpya SIMBA SC – VIDEO

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wamemleta Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Mfaransa Pierre Lechantre. Kocha...

READ MORE

FULL TAKWIMU ZA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018 RUSSIA

HAPA nimekuwekea rekodi zote muhimu za fainali ya Kombe la Dunia zilizomalikiza juzi Jumapili pale Rusia na Ufaransa kufanikiwa kuibuka...

READ MORE

NCHI ZENYE WATU WANAOISHI UMRI MKUBWA ZAIDI DUNIANI

JUKWAA la Uchumi Duniani (WEF) limetoa utafiti wa nchi ambazo watu wake wanaishi umri mkubwa zaidi.  Utafiti huo haukutia maanani...

READ MORE

Kim, Kanye Wahudhuria Fasheni Shoo ya North

MASTAA wa Marekani, Kim Kardashianna mkewe, Kanye West,  wakiwa na mwanao mdogo, Saint, jana walihudhuria shoo ya mavazi iliyomjumusha binti yao mdogo,...

READ MORE

WEMA NA SIFA YA UFUNDI WA KUKAANGIZA

STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu ana sifa nyingi. Tangu amekuwa staa, mdada huyu anatajwa kuwa mkali sana linapokuja suala...

READ MORE

WAZIRI MKUU: SH. 43bn/- ZIMELIPA MADENI YA WATUMISHI

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imelipa sh. bilioni 43 zikiwa ni madeni kwa watumishi wa umma na kati...

READ MORE

ROMA AGAWA MAGAZETI YA GLOBAL, KUPIGA SHOO DAR LIVE J2

Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki juzi Jumatano alihamsha shangwe za kutosha kwa mashabiki wake baada ya kufanya sapraiz...

READ MORE

KISUTU: RCO, ILALA AULIZWA KAMA ANAPAFAHAMU ANAPOISHI RAIS MAGUFULI

MKUU wa Upelelezi Wilaya ya Ilala (RCO), Davis Msangi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa hajawahi kumuhoji Rais Dkt....

READ MORE

MAKONDA  AMALIZA MIGOGORO SUGU YA WAKAZI WA TABATA LIWITI

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo ametegua kitendawili kilichowatesa kwa muda mrefu wakazi wa...

READ MORE

MWIJAGE  AWATAKA WAFANYABIASHARA KUZALISHA BIDHAA ZENYE TIJA

WAZIRI wa viwanda, biashara na uwekezaji, Charles Mwijage amewataka wafanyabiashara nchini kuzalisha kwa viwango na tija kulingana na viwango vya...

READ MORE

Tigo yatoa ofa simu za kisasa zenye vifurushi vya intaneti maonyesho ya sabasaba

  KAMPUNI inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali ya Tigo ambayo ndiyo mdhamini mkuu wa mawasiliano katika Maonyesho  ya Kimataifa ya...

READ MORE

SERIKALI YATENGA 4.3bn/- KUJENGA VITUO VYA KUHIFADHI DAMU SALAMA  

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. bilioni 4.3 ili kujenga vituo vya kuhifadhi damu (satellite blood banks) kwenye mikoa...

READ MORE

KESI YA VIGOGOGO NANE WA CHADEMA KUUNGURUMA JULAI 2

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia kutoa uamuzi wa muda wa kusitisha ama kutositisha usikilizaji wa kesi inayowakabili viongozi wa Chama...

READ MORE

MAKONDA APOKEA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KOREA KUSINI

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amepokea Vifaa vya matibabu vyenye thamani ya shilingi milioni 100...

READ MORE

NMB YAWATAKA WAZAZI KUWAWEKEA WATOTO WAO AKIBA

    BENKI ya NMB imeamua kuanza kutoa elimu kwa wazazi wenye watoto kuanzia wadogo hadi wenye umri wa miaka...

READ MORE

DUMA: Mimi ni Bosi, Gabo Muigizaji!

MSANII wa filamu Bongo, Daudi Michael ‘Duma’ amefunguka juu ya tetesi zinaendelea mitandaoni kwamba yupo kwenye bifu zito na msanii...

READ MORE

MTAZAMO WA WADAU KUHUSIANA NA Infinix HOT 6

Baada ya ujio wa Infinix HOT 6 na kufanya vizuri sokoni kutokana muonekano na uwezo wake lakini pia wadau wameweza...

READ MORE

WEMA SEPETU AANZA KUJITETEA MAHAKAMANI

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeaza kusikiliza utetezi wa mshtakiwa ambaye ni muigizaji, Wema Sepetu...

READ MORE

NABII  OLIVIA, ELISHA   WATIMIZA MWAKA MMOJA WA HUDUMA

  MWANAMUZIKI wa nyimbo za injili, Upendo Nkone, amewapongeza Nabii Olivia na mume wake Elisha Mtangirwa kwa kutimiza mwaka mmoja...

READ MORE

Harmonize Amfanyia Sapraizi Mpenziwe Sarah

MWANAMUZIKI Harmonize amemfanyia saparaizi ya pekee mpenzi wake aitwaye Sarah, raia wa Italia, baada ya kumuita stejini na kumweleza anavyompenda...

READ MORE

Columbia Global Centers yawakutanisha wasanii kuzungumzia Maendeleo ya jamii

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Frida Amani akiongea wakati wa mjadala uliondaliwa na taasisi ya Columbia Global Centers kwa wanamuziki wa...

READ MORE

SIKUKUU YA EID EL FITR ILIVYOFANA COCO BEACH, DAR

Sehemu ya wakazi wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam wakiwa kwenye ufukwe wa Coco Beach jioni ya...

READ MORE

Timu Diamond, It’s Too Much Sasa, Muacheni Hamisa!

UHUSIANO wa ki­mapenzi kati ya msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanadada Hamisa Mobeto ndiyo ishu inayozidi...

READ MORE

Airtel, SportPesa wazindua promosheni kwa wateja wa Airtel Money

    KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel leo kwa kushirikiana na SportPesa imezindua promosheni ya mwezi mmoja ijulikanayo...

READ MORE

Jay-Z Ashitakiwa Kwa Kutomlipa Prodyuza Mrabaha

PRODYUZA wa muziki, Raynard Herbert, wa Marekani amefungua mashitaka dhidi ya  mwanamuziki Jay-Z wa Marekani kwa kutomlipa asilimia moja ya...

READ MORE