The House of Favourite Newspapers

DJ FETTY – ”Mwanzo Mwisho wa Maisha ya Godzilla” – Part 1 – VIDEO

Tasnia ya muziki nchini na watanzania wote kwa ujumla tunaendelea kuomboleza kifo cha mwanamuziki nguli wa Hip Hop, Godzilla, kilichotokea usiku wa kuamkia jana.

Global TV imemtafuta Aliyekuwa Mtangazaji wa Clouds FM, Dj Fetty, ambaye kwa kiasi kikubwa ana mchango mkubwa katika muziki wa Godzilla, mpaka alipokuwa amefikia.

Comments are closed.