Author
Isri Mohamed
VYAMA NANE VYA UPINZANI VYAFUNGUA KESI DHIDI YA SERIKALI – VIDEO
Vyama nane vya Siasa nchini ikiwemo CHADEMA, CHAUMA, ACT WAZALENDO, DEMOCRATIC PARTY, CCK, UPDP vimeungana na kufungua kesi katika mahakama ya Afrika Mashariki kupinga matumizi ya Sheria ya vyama Vya Siasa ambayo vimedai kuwa inakandamiza…
MAAJABU! Mtoto wa Miaka ‘5’ Apata HEDHI, Mama Asimulia Mazito! – VIDEO
Ama kweli mambo ya kushangaza ni mengi duniani hata ukisikia mtoto wa kike wa miaka mitano anapata hedhi kila mwezi utastaajabu.
Mama mzazi wa mtoto huyo mkazi wa Dodoma anasimulia jinsi mwanaye huyo alivyoanza kuona siku zake.
NMB YATOA MSAADA WA MADAWATI 100 KILOMBERO
Mkuu wa Shule ya Sekondari Mchombe (kulia mwenye miwani) Meneja wa NMB Ifakara na Ofisa Uhusiano.
SHULE za sekondari Kiberege na Mchombe Wilayani Kilombero zapokea msaaada wa Viti na meza 100 kutoka benki ya…
Tigo yatoa zawadi za mamilioni kwa Mawakala waTigoPesa
Kampuni ya Tigo Tanzania, leoimetoa zawadi za mamilioni ya shilingi kwa mawakala wake wa huduma ya Tigo Pesa kupitia promosheni iliyomalizika hivi karibuni ya ‘Wakala Cash In Promotion’.…
JPM Awaweka Mtu Kati, Mkurugnzi & Mhandisi Njombe – VIDEO
Rais Dkt John Magufuli amewaweka mtu kati Mkurugenzi wa Halmashauri ya Njombe na Mhandisi wa halmashauri hiyo kutokana na mradi mbovu wa maji katika eneo la Manga tangu mwaka 2009 hadi sasa huku akimtaka Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa…
Aussems: Tutawachapa Mazembe kwao
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amefunguka kuwa licha ya kutoka sare katika mchezo wao wa juzi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe, ana matumaini makubwa ya kutinga nusu fainali.
Simba ilitoka suluhu katika…
Mama Ntilie, Mama wa Nyumbani Mmeisoma hii? – Video
KUFUATIA malalamiko ya baadhi wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wakidai kukumbwa na magonjwa ya tumbo na kuhara, wengine wakiapa kabisa kutokula kwa mama ntilie wakisema kuwa wafanyabiashara hao wamekuWa wakitumia maji yasiyo safi…
SPOTI HAUSI: Njia TATU za Kuwapa SIMBA Ushindi kwa TP MAZEMBE – VIDEO
Kipindi cha Spoti Hausi leo kipo tena hewani, ambapo wachambuzi wako watakuletea mambo mbalimbali ikiwemo nafasi ya ushindi wa Simba keshokutwa, nini kifanyike ili Stars ifanye vizuri kwenye Afcon, kasi ya ubingwa wa Ligi Kuu England.
MFANYABIASHARA JELA MIAKA 30, VIBOKO 12
MBEYA: Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya imemhukumu kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 12 mfanyabiashara mmoja mkazi wa Isanga jijini Mbeya, Antony Madawa baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka na…
Dkt. Pallangyo (CCM) Ashinda Kura Jimbo la Nassari
Dkt. John Pallangyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi (CCM) mkoani Arusha, ameshinda kwa kishindo kinyang'anyiro cha kura za maoni ndani ya chama hicho kwa ajili ya kupata mkombea Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki.…
VIONGOZI WA CHUO CHA KIJESHI UGANDA WATEMBELEA EPZA
VIONGOZI wa chuo cha Jeshi la Usalama wa Taifa la Kimaka kutoka nchini Uganda (KDC) wametembelea kituo cha Mamlaka ya Uwekezaji (EPZA) kilichoko jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika…
Authorization Letter Template
Remember the length of your own composition matters on the assignment agreed to you. There's certainly no plagiarism and fully free rewrite if a pupil isn't over the moon along with the last merchandise.
Barclays yaitikia wito wa BoT, yafungua duka la kubadilishia fedha za kigeni
KATIKA kuunga mkono juhudi za Benki Kuu ya Tanzania ya kuhakikisha huduma ya kubadilishia fedha za kigeni inafanyika kwa kufuata sheria na vilevile hakuna uhaba kwa wataohitaji huduma hiyo, benki ya Barclays Tanzania…
NDALICHAKO Akizindua Ukumbi wa Mihadhara Chuo cha Mwl Nyerere – VIDEO
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amezindua ukumbi wa mihadhara wa kisasa katika Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere uliojengwa na mapato ya ndani ya Chuo hicho.
Akizundua ukumbi huo wa Mihadhara…
KUHUSU MFEREJI WA MAJI HAYA…. MBAGALA WAIANGUKIA SERIKALI
WANANCHI wa Mbagala Kiuzuiani Mtaa wa Juhudi wameiomba Halmashauri ya Wilaya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam kuwawekea mifereji ya kupitisha maji ya mvua ili kunusuru makazi yao na watu wa maeneo hayo.
Wamesema…
Alichokisema RC AYOUB Katika Uzinduzi wa NYANYA CAPTURES! – VIDEO
Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi visiwani Zanzibar, Ayoub Mahmoud, amezindua kampuni ya kupiga picha inayoitwa Nyanya Captures...
Kampuni ya Nyanya Captures iliyochukua takribani miaka mitano kutengenezwa hadi kukamilika, ina jumla ya…
NMB YACHANGIA MABATI 802, MADAWATI 50 NA VITANDA 8 VYA HOSPITALINI
BENKI ya NMB imechangia jumla ya mabati 802 kwa ajili ya kuezeka madarasa ya Chuo cha Veta Kalambo, Shule za Kipeta na Ilanga pia kuzipa madawati 50, pamoja na Vitanda 8 vya Hospitali vyote vikiwa…
NAIBU WAZIRI FEDHA NA MIPANGO ATEMBELEA CHUO KIKUU MZUMBE
Naibu Waziri Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (MB) ametembelea Chuo Kikuu Mzumbe na kukagua ujenzi wa Mabweni ya Wanafunzi unaoendelea katika eneo la Maekani, Makao Makuu ya Chuo hicho,…
Alichokisema LUGOLA Kwenye Kongamano la Usalama Barabarani – VIDEO
Kongamano la usalama barabarani ambalo ni mbadala wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani linafanyika leo Machi 30.
Kongamano hilo ambalo mgeni rasmi ni Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Kangi Lugola, linafanyika katika…
LIVE: Serikali Ikitia SAINI Mkataba wa Ujenzi wa Kiwanda cha Nyama – VIDEO
Serikali ya Tanzania, kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi, iliyopo chini ya Waziri Luhaga Mpina, inatia saini mkataba wa ujenzi wa kiwanda cha nyama baina ya Tanzania na Misri...
LIVE: Waziri wa Elimu Akizindua Maktaba ya Mtandao – VIDEO
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, leo Machi 30, anazindua maktaba mpya ya kisasa kwa njia ya mtandao (TIE)...
Hafla ya uzinduzi huo inafanyika katika viwanja wa Taasisi ya Elimu Tanzania vilivyopo…
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
SERIKALI imesema itaendelea na juhudi za kushawishi wadau wa maendeleo na Jumuiya za Kimataifa ili kupata fedha za kusimamia uratibu wa shughuli za mazingira na kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi nchini.…
This essay was shown in by the rules
Research papers writing may be complicated endeavor for lots of the pupils since it takes added time than normal article writing occupation. This is actually the suitable moment to seek the guidance of a trustworthy essay writing support.…
Description Private Skills
Papers writing is really something which has become popular. Nobody may ever comprehend how you received your writing essays services. Many legit essay writing providers greater authors which can be experienced so you may be certain of a…
SPOTI HAUSI: Ukweli Kuhusu USAJILI wa ‘TUYISENGE’ Simba – VIDEO
Kipindi cha Spoti Hausi leo kipo tena hewani ambapo wachambuzi wako watakuwa wakikuletea uchambuzi mbalimbali kuhusu kufuzu kwa Stars kwenye Kombe la Mataifa Afrika, maandalizi ya Simba ya mechi ya Simba na TP Mazembe.
Lakini pia kuna…
English as a Channel For -Writer
The actual key to writing an excellent essay would ensure it's fascinating, as well as the key to that's really to come up with something you're enthusiastic about. Simply tell us how exactly to enhance the essay. There's a superb danger…
Educational dissertation writing
Writing essays are a truly major part materials issues in college professors. Composing an essay is a trying endeavor. Begin the simple composition key words, finally.
MISS TANZANIA ALAMBA SHAVU NONO BODI YA UTALII – VIDEO
Miss Tanzania mwaka 2018, Queen Elizabeth, amelamba shavu la kuwa balozi wa Bodi ua Utalii nchini, ambapo atakuwa na majukumu ya kuutangaza utalii wa Tanzania ndani na nje ya nchi...
Miss Tanzania Queen, amesaini mkataba wa ubalozi huo…
Fantastic faculty scholarships that are available to homeschoolers 1-10
The very best company must have several desirable qualities in order that it may enable customers to get the ultimate documents on the web at an affordable cost. The reality that one may truly obtain a support supplier which could offer you…
JPM Apokea Taarifa ya Utendaji wa Takukuru – Video
Kamishna wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru),Diwani Athmani amesema taasisi hiyo imefanikiwa kuokoa kiasi cha Sh70.3 bilioni ikilinganishwa na Sh14.6 zilizookolewa mwaka 2016/2017.
Mbali na fedha hizo, amesema…
oremier bet