Europa League Kuinogesha Wiki, Bashiri kwa Maarifa na Ushinde
Kombe la Europa linalindima tena leo huku kila timu ikijizatiti kuhakikisha inaondoka na matokeo ili kufuzu kwa hatua zinazofuata, na kwako mbashiri, michezo mbalimbali ipo pale Meridianbet kwa ajili yako kuhakikisha nafasi za machaguo ni za kutosha kwako.
Kutoka Hispania, ni Real Betis watakaokua dimbani Estadio De La Cartuja kuwakaribisha Nottingham Forest inayoshiriki ligi kuu Uingereza. Real Betis wapo kwenye kiwango bora wakiwa wamepoteza mchezo mmoja pekee kwenye michezo yao mitano ya mwisho. Tutarajie mchezo bora na ushindi wa hali ya juu kwa wale watakaobashiri na Meridianbet.
Vijana wa Franck Haise, OGC Nice, nao wanaingia uwanjani kuwakabili AS Roma kutoka ligi kuu Italia. Roma wamekusanya jumla ya alama 9 kwenye michezo minne ya ligi wakipoteza mchezo mmoja pekee huku Nice wakishinda michezo miwili pekee kati ya mitano ya Ligi kuu Ufaransa. Meridianbet wamekuwekea odds nzuri kuelekea mchezo huu.
Meridianbet haijabaki nyuma katika kutoa burudani ya kiwango cha juu. Mbali na Bonanza, kuna michezo ya kasino mtandaoni inayovutia na mechi za kimataifa zenye odds kabambe. Hii ni fursa ya kuongeza kipato chako kila siku kwa njia rahisi na ya uhakika. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
SC Braga kutoka Ureno nao wapo dimbani leo kuwakaribisha Feyenoord ya Uholanzi kwenye mchezo mwingine unaotazamiwa kuwa na msisimko wa hali ya juu. Ricardo Horta akiongoza mashambulizi anatazamiwa kuwa mchezaji wa kuchungwa kwa upande wa Braga lakini Feyenoord akiwa kinara wa msimamo wa ligi kuu Uholanzi anatarajiwa kuonyesha kandanda safi sana.
Dinamo Zagreb walioukosa ubingwa wa ligi kuu Crotia kwa utofauti wa magoli na mabingwa wa ligi hiyo wanakutana na Fenerbahce wa Uturuki ambao wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa wametoka kumpoteza kocha mkuu Jose Mourinho. Mchezo huu wenye ushindani umepewa odds nzuri sana pale Meridianbet kwa ajili yako.
Wakati michezo mbalimbali barani ulaya ikiendelea kutimua vumbi jumatano hii, Meridianbet, wakali wa kubashiri Mitandaoni, wanakupa odds kubwa kwenye michezo yote. Jisajili sasa kupitia tovuti au kwa kupitia application rasmi ya meridianbet na uanze safari ya ushindi sasa.