The House of Favourite Newspapers
gunners X

Funga Safari Ya Ushindi: Qualifiers Za Meridianbet Festival Malta 2025

Ni muda wa kujiwekea historia ya mchezo kwa wacheza kasino mtandaoni na Meridianbet kwa kulitambua hilo inawapa wachezaji wake fursa ya kushiriki qualifiers za Festival Malta 2025 kwenye Playtech Poker, kuanzia Julai 14 hadi Septemba 8, 2025.

Kila qualifier itaendeshwa kupitia satelaiti kila siku, huku tournaments kuu zikifanyika kila Jumanne, Ijumaa na Jumapili. Ushindi unafungua mlango wa package ya kushangaza yenye thamani ya TZS 5.55 milio­ni: tiketi ya Main Event (Sept. 15–21) yenye thamani ya TZS 1.67 milioni, malazi ya usiku 6–7, pesa ya ziada TZS 758,778, na bonus ya pesa taslimu hadi TZS 750,000 ndani ya masaa 72.

Mfumo wa qualifiers ni MTT yaani ni multi-table tournaments ambayo ina sifa ya ya kuweza kujiunga na kurudi tena kwa mchezaji (re-entry and rebuy options). Kama utaingia mchezoni, ukamaliza ukiwa mshindi, basi siku ya pili ni yako kuanza na stack (dau) kubwa.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Haki na uwazi vimezingatiwa katika ushiriki. Hakuna udanganyifu, hakuna mikono ya siri, ushindi utazingatiwa kwa usahihi. Mchezaji anaruhusiwa kushinda package moja tu lakini uwezo wa kushinda seat nyingi bado uko wazi kwake.

Safari hadi Malta iko kwako, usafiri na visa ni jukumu lako mwenyewe lakini meridianbet itasimamia shughuli zote baada ya kufika malta. Malta itawapokea watu wote walioshinda kuanzia Septemba 15–21 katika kasino maarufu zaidi ya Portomaso Casino.

Baada ya kuwasili Malta washindi wote watashiriki kwenye hafla maalumu yenye shughuli zaidi ya 50 za poker, michezo mingine mbalimbali ya kasino, na burudani nyingi sana bila kusahau kuacha alama kwa kufanya matukio mbalimbali ya kibinadamu kwa jamii.

Jisikie shauku ya kuwa mmoja wa washindi kutoka meridianbet, jiunge sasa na ushiriki qualifiers kisha uangalie namna ushiriki wako utakavyokukatia tiketi ya kuwa mfalme mpya wa poker.

Comments are closed.