The House of Favourite Newspapers
gunners X

Global Habari Julai 07 – Rais Magufuli Ateua DC Na Ma-Ded Watano

0


Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo Julai 07,2020 amefanya uteuzi wa Mkuu wa wilaya mmoja na wakurugenzi wa Halmashauri watano katika mikoa mbalimbali na uteuzi wa viongozi hao umeanza hii leo .

 

Rais Magufuli amemteua Lauteri Kanoni kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe akichukua nafasi ya Ally Kasinge,ambapo kabla ya uteuzi huo Kanoni alikuwa Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia Serikali za Mitaa huko Mkoani Songwe.

Leave A Reply