Happy Birthday Franco Ruhinda





LEO ni siku muhimu sana kwa mfanyakazi wa Sokabet, Franco Ruhinda ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa…Hivyo, uongozi na wafanyakazi wa Global Group iliyopo Sinza- Mori jijini Dar, unamtakia heri ya kuzaliwa.
Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa wafanyakazi wote wa Global Publishers Ltd na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.
Happy Birthday Franco Ruhinda!

