The House of Favourite Newspapers
gunners X

HATUA KWA HATUA UNAVYOWEZA KUPATA 100M

0

KAMPUNI ya kubashiri matokeo ya Sokabet maarufu kwa jina la Wababe wa Kubet wanaendelea kuteka soko la washiriki wa mchezo huo kwa nguvu. Hizi ni dondoo mbalimbali kuhusu kampuni hiyo na jinsi ya kushiriki ili kuwawezesha washiriki wapate fedha ndani ya muda mfupi pindi wanapotabiri na kupatia matokeo ya michezo mbalimbali:

UNAPATA WAPI TAARIFA?

Rasmi kila kitu kuhusu Sokabet kinapatikana ndani ya tovuti ya www.sokabet.co.tz na ndiyo ambayo unaweza kuitumia kutabiri pia unaweza kupata taarifa kupitia ukurasa wa Instagram wenye jina la Sokabet na unaweza kuwasiliana na namba ya huduma kwa wateja ambayo ni 0654-705 555.

JINSI YA KUJIANDIKISHA

Ingia www.sokabet.co.tz bonyeza sehemu ya ‘SIGN UP’, jaza nafasi chache zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.

MGAWANYO WA JACKPOT UPOJE?

Mechi utakazopatia Fedha utakazopata

13/13 Sh 100,000,000

12/13 Sh 5,000,000

11/13 Sh 2,000,000

10/13 Sh 1,000,000

9/13 Atashiriki bure

Jackpot inayofuata

NAMBA YA BAHATI 335757

Washiriki wa kubashiri wanatakiwa kuwa wenye umri wa miaka 18 na zaidi, pia namba 335757 ambayo ni ya Sokabet, hii ndiyo itakupa neema yote ya kukufanya umiliki mamilioni ya fedha.

MECHI 13 ZINAKUPA UTAJIRI

Sokabet Jackpot ni aina ya ubashiri ambao unapewa idadi kadhaa ya mechi ubashiri, ukipatia zote unapata zaidi ya Sh milioni 100.

Ndani ya Jackpot unatakiwa kupatia matokeo ya mechi 13 tu lakini idadi ya mechi za jumla zinazowekwa ni 16, hizo 3 nyingine ni za ziada tu ambazo haziwezi kuathiri zile 13 ulizobashiri. Hizo tatu za ziada zinawekwa ili zijumuishwe kwa dharura endapo itatokea kuna mechi ndani ya zile 13 haikufanyika au haikumalizika.

JINSI YA KUJIANDIKISHA

Ingia www.sokabet.co.tz bonyeza sehemu ya ‘SIGN UP’, jaza nafasi chache zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.

UKIKOSEA UNAWEZA PATA MILIONI 5

Ikitokea umekosea kubeti michezo kadhaa bado utakuwa na nafasi ya kujiingizia fedha. Mfano ikitokea wabashiri wamepatia michezo 12 kati ya 13 basi watapatiwa Sh milioni 5 (Sh 5,000,000) watakaopatia mechi 11 watapatiwa Sh milioni 2 (Sh 2,000,000).

BETI KWA BUKU TU USHINDE SH 100,060,066

Ndani ya Sokabet, wikiendi hii unaweza kupata hadi Sh milioni 100 kwa kubashiri matokeo kwa kuweka buku tu katika kipengele cha Sokabet Jackpot ambapo kwa wiki hii kitafungwa kabla ya Jumamosi Septemba 9 saa 8:30 mchana.

JINSI YA KUINGIZA FEDHA

Watumiaji wa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Sokabet’.

Baada ya hapo utaingiza kiasi unachotaka kuweka mfano Sh 1,000 au 2,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 ili kukamilisha mchakato.

Kwa Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Sokabet’), kisha namba yako ya siri ya Airtel money.

Hapo utakuwa umeshajaza salio kwenye akaunti yako ya Sokabet tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri hata kwa Sh 200.

SOKABET WAMEINGIA KWA KISHINDO

Kampuni imezinduliwa Jumatatu ya wiki hii, hapohapo ikasaini mkataba wa Sh milioni 150 kuidhamini Majimaji inayoshiriki katika Ligi Kuu Bara.

SOKABET JACKPOT NI BALAA

Sokabet ambayo namba yake ya kampuni ni 335757 inakuwezesha kupata kiwango hicho kwa kushiriki katika kipengele cha Sokabet Jackpot ambacho kwa wiki hii unatakiwa kubeti kabla ya Jumamosi Septemba 9, saa 8:30 mchana.

JINSI YA KUINGIA

Rejea sehemu ya kuingia ndani yaani ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu kisha ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, ukifanikisha hilo utakuwa umeingia kwenye akaunti yako rasmi. Ukirejea baadaye kufungua tovuti hiyo, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba ya simu kisha namba ya siri tu.

Leave A Reply