The House of Favourite Newspapers

Hawa Hapa Wafungaji Bora wa Mataifa Mbalimbali Afrika

0

Safari ya mafanikio huanza kwa kuituma kwa kile ambacho unakifanya kwenye maisha yako ya kila siku. Hapa Afrika kuna wachezaji wengi ambao wamefanya mengi na hata kushikilia rekodi mbalimbali ikiwemo za ufungaji bora. Je unajua kuwa Meridianbet inaweza kukufanya na wewe ukaweka rekodi yako?. Bashiri sasa uingie kwenye rekodi ya kushinda Mamilioni.

Sadio Mane naye ndie anayeshikilia rekodi ya mfungaji bora pale Senegal akiwa na mabao 44 kwenye mechi 112 ambazo amecheza hadi sasa. Mane kwa sasa anakipiga kule Al Nassr ya Saudi Arabia akiwa ni mchezaji mwenye mafanikio makubwa kwenye Taifa hilo kwani amecheza vilabu kama Liverpool, Bayern Munich na zingine. Anyefuata ana mabao 18. Je nani ataivunja rekodi yake? Endelea kubashiri na Meridianbet mechi zote hapa.

Pia Morocco ambao ndio washindi wa 3 wa Kombe la Dunia la 2022 ambaye anashikilia rekodi ya ufungaji bora ni Ayoub El Kaab ambaye anakipigia ligi kuu ya Ugiriki timu ya Olympiacos. Mchezaji huyo kwenye timu ya Taifa hadi sasa amecheza mechi 55 na kufanikiwa kufunga mabao 29. Nafasi ya pili anashikilia Ziyech mchezaji wa zamani wa Chelsea yeye akiwa na mabao 25. The Atlas wameshafuzu kushiriki Kombe la Dunia 2026. Je wataishia nafasi ya ngapi?. ODDS za kibabe unazipata Meridianbet pekee. Jisajili hpaa.

Michezo ya Kasino leo ipo kwaajili ya kukutajirisha, Cheza Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Egypt rekodi ya mfungaji bora wa muda wote inashikilia na mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ambaye mpaka sasa ana mabao 59 kwenye mechi 104 ambazo amecheza kwenye timu yake ya Taifa. Salah ameuwa ni mchezaji muhimu sana kwenye timu yake ya Taifa na klabu kwani ndiye mchezaji tegemezi. Anayemfuata ana mabao 37 kwenye mechi 94. Je nani anaweza kuifikia rekodi hiyo?. Na je Salah atastaafu akiwa na mabao mangapi kwa timu yake ya Taifa?. ODDS za kibabe zipo mechi za leo. Bashiri sasa.

Pale Nigeria napo anayeongoza kwa ufungaji bora wa muda wote hadi sasa ni Victor Osimhen mchezaji wa Galatasaray. Mshambuliaji huyo mpaka sasa kwenye mechi zake 42 amefanikiwa kutupia nyavuni mabao 26, huku anyemfuata akiwa na mabao 18 pekee kwenye mechi 40 ambazo amecheza. Nigeria hadi sasa kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia ipo nafasi ya 3 wakiwa nyuma pointi sita kwa kinara wa ligi. Je Osimhen anaweza kufikisha mabao mangapi mpaka atapoacha kucheza mpira?. Na Nigeria itaweza kufuzu Kombe la Dunia 2026?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet pekee. Beti sasa.

Nao mabingwa watetezi wa Afcon 2023, Ivory Coast ambao kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia wapo nafasi ya 1 wakiwa na pointi 20, kifupi ni Taifa ambalo linafanya vizuri. Rekodi yao ya ufungaji bora bado inashikiliwa na aliyekuwa mchezaji wa timu ya Chelsea na Galatasaray Didier Drogba ambaye alifunga mabao 63 kwenye mechi 94. Rekodi hiyo kufikiwa inahitaji muda mref kwani anayemfuata ana mabao 24 hivyo inahitajika kazi ya ziada kabisa. Bashiri na Meridianbet mechi zote.

Pale Algeria napo mfungaji bora mpaka sasa ni Islam Slimani ambaye ana mabao 46 kwenye mechi 102. Mchezaji huyo anakipiga katika ligi ya CR Belouizdad ya huko huko Algeria. Huku anayemfuata yeye ana mabao 34 kwenye mechi zake 79. Je timu hii inaweza ikafuzu Kombe la Dunia 2026?. Na itafika hatua gani kama ikifuzu?

Leave A Reply