Hope: Mtoto ‘Mchawi’ Aliyetupwa Dampo na Wazazi Wake
Hii ni makala inayomuelezea mtoto Hope, aliyetupwa dampo na wazazi wake akituhimiwa kuwa ni mchawi, na baadaye akaokotwa na Mama Mzungu ambaye amefanikiwa kuleta furaha kwenye maisha ya mtoto huyo.