
HUDUMA za mtandao wa Google ghafla leo (Jumatatu) zilitoweka na kuleta athari kwa watumiaj iduniani. Miongoni mwa watumiaji hao ni mtandao wa Gmail, Google Search, YouTube, na Drive.
Hatua hiyo imeathiri sehemu 40,000 zilizokuwa zikipata huhuma hiyo duniani kwa dakika 10 kwa
wakati mmoja;
Hata hivyo, Google inasema huduma zake zinarudi kama kawaida baada ya kasoro kadhaa zilizojitoketea.

—-

