The House of Favourite Newspapers
gunners X

Jengo La TRA Kariakoo Lateketea Kwa Moto, Jeshi La Zimamoto Watinga Kuuzima – Video

Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo – Dar es salaam.

Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa, Global TV imefika eneo la tukio kwa habari zaidi.

Comments are closed.