The House of Favourite Newspapers

Jimmy Mafufu Ahama Chadema, Amchacha Lissu, Roma Na Nay – Video

Msanii wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Akitangaza uamuzi huo mbele ya waandishi wa habari, Mafufu amesema amekoshwa na juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuibadilisha nchi tangu alipoingia madarakani.

Comments are closed.