HabariKitaifa JPM Amteua Mohamed Haji Kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar On Feb 10, 2018 Share Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amempandisha cheo na kumteua Bw. Mohamed Hassan Haji kuwa kamishna wa Polisi Zanzibar. Related Magufuli Share
Comments are closed.