The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Magufuli

Mambo Makubwa ya Kukumbukwa 2021

HATIMAYE mwaka 2021 unakaribia ukingoni; bado takriban siku 20 tu, lakini kuna mengi yamejiri katika safari hiyo yenye milima na mabonde. Yapo ya kufurahisha na yapo ya kuhuzunisha. Kupitia IJUMAA SHOWBIZ, kuelekea kuufunga mwaka…

We Miss Them!

WE miss them so much (tumewamisi mno)! Ndivyo wasemavyo Watanzania walio wengi wakati huu zikiwa zimesalia takriban siku 20 kumalizika kwa mwaka 2021; mwaka unaoelezwa kutawaliwa na machozi kila kona kutokana na vifo vingi vya viongozi,…

Mama Janet Magufuli ni Mgonjwa

Joseph Magufuli ambaye ni mtoto wa aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli amesema mama yake, Janet anaendelea na matibabu baada ya kupata mshtuko kufuatia kifo cha mumewe. …

Magufuli Kukumbukwa kwa Kuinua Elimu

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli  ametajwa kuwa mzalendo na shujaa aliyepania kulisaidia Taifa la Tanzania kwenda mbele kwa kasi kwa kuwasaidia watoto wa Kitanzania wanyonge kupata elimu bila malipo na kuboresha mazingira ya…