The House of Favourite Newspapers

Justin bieber hapigi picha tena!

0

Justin-Bieber1Justin Bieber

Mkali wa miondoko ya Muziki wa Pop duniani, Justin Bieber amefunguka kupitia Mtandao wa Kijamii wa Instagram kuwa hata piga picha tena na mashabiki wake hata atakapokuwa anakutana nao kwenye ‘public.’

Bieber alifunguka hayo huku akisema umefika wakati hahesabiki kama binadamu, watu wanamchukulia kama mnyama mbugani, kila wanapomuona wanataka kupiga naye picha jambo ambalo yeye halimpendezi.

Leave A Reply