The House of Favourite Newspapers
gunners X

Mji wa Katoro Wazizima Mapokezi ya Dkt. Nchimbi..

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John  Nchimbi, kabla ya kuanza kwa mkutano wa hadhara katika eneo la Katoro, Geita.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akisalimiana na ndugu Amos Gabriel Makalla, Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo , kabla ya kuanza kwa mkutano wa hadhara katika eneo la Katoro, Geita.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akisalimiana na Ndugu Rabia Hamid Abdalla, Katibu wa NEC – Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, kabla ya kuanza kwa mkutano wa hadhara katika eneo la Katoro, Geita.

Wanachama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Katoro mkoa wa Geita wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa hadhara leo Jumatatu Agosti 12,2024,wakisubiri kumsikiliza Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Emmanuel John Nchimbi, ambaye ameongozana na ujumbe wake kuendelea na ziara ya Mkoa wa Geita akitokea mkoa wa Kagera.

Leave A Reply