Kauli Ya Kwanza Ya Bosi Mpya Wa TRA – ”Mungu Ataniongoza, Nitazidi Matarajio Ya Rais” – Video..
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda akiongea na watumishi wa TRA Zanzibar mara baada ya kupokelewa rasmi na watumishi hao katika ofisi za TRA Zanzibar.

