Burudani Kiba amuomba msamaha Rubby kwa kumuita Mbwa Last updated Jan 31, 2016 0 Share Asante sana kaka @officialalikiba Msamaha wako nimeupokea na nimekubali japo umeondoa post yako. Utakuwa na sababu zako unazojua mwenyewe. Kama nilivyosema mwanzo issue sio jina la mbwa wako, issue ni huo ‘mfugo’ uliofanywa topic na watu wako wa karibu na kunifanya nianze kuhisi huenda ulikuwa na maana nyingine. Since umepiga simu kwa boss wangu kuomba radhi, mimi sina kinyongo, naomba Mungu huyo mbwa awe anabweka tu ha ha,tufanye tu kazi kaka A photo posted by Ruby Licious (@ruby_na_yule) on Jan 30, 2016 at 7:51am PST Related Kiba amuomba msamaha Rubby 0 Share