The House of Favourite Newspapers

KINARA WA TAIFA MATOKEO YA DARASA LA SABA ANENA

Mwanafunzi Ndemezo Lutakwa ambaye ameshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2018 yaliyotangazwa juzi amesema kuwa maandalizi mazuri ya walimu kimasomo, nidhamu na kupenda masomo ndiyo yaliyomfanya aweze kufaulu vizuri mitihani yake.

Mwanafunzi huyo aliyehitimu elimu yake ya msingi katika Shule ya Kadama English Medium iliyopo Kata ya Buseresere wilayani Chato, ameyasema hayo akiwa nyumbani kwai pamoja na wazazi wake katika kijiji cha Igando, Magenge wilayani Geita.

CREDIT: AZAM TV

Kutazama matokeo hayo

Bofya hapa === > Matokeo Darasa la Saba 2018 (Link 1)

Bofya hapa === > Matokeo Darasa la Saba 2018 (Link 2)

Pia unaweza kuyatazama kwa urahisi kupitia Global Publishers App

Android ===> Play Store

iOS ===> 

 

BREAKING: NECTA yawaanika Hadharani Walimu wezi wa Mitihani!!

Comments are closed.