The House of Favourite Newspapers

Leo, Kila Sekunde ni Fursa: Timu za Taifa Zinapigana na Meridianbet Imetia Moto

0

Leo ni siku ya moto barani Afrika, viwanja vinatikisa, mashabiki wanapiga kelele, na timu za taifa zinapigana kufa na kupona kutafuta tiketi ya Kombe la Dunia 2026. Hii si mechi ya kirafiki, hii ni vita ya heshima, fahari ya taifa, na ndoto ya kupeperusha bendera kwenye jukwaa la dunia. Na kwa mashabiki wa Meridianbet, kila dakika ni fursa ya ushindi, kwenye uwanja na kwenye mikeka.

Kundi A, Ethiopia wanawakaribisha Guinea-Bissau saa 10 jioni, wakisaka pointi tatu muhimu mbele ya mashabiki wao. Lakini macho yote yatakuwa saa 1 usiku pale Egypt watakaposhuka dimbani dhidi ya Djibouti. Pharaohs wanakuja na kikosi kilichosheheni nyota, na Meridianbet imewapa odds za kuvutia lakini je, Djibouti wanaweza kuvuruga mipango? Sierra Leone dhidi ya Burkina Faso pia ni mechi ya kuchunguzwa kwa makini.

Ndani ya kundi D, Eswatini wanakutana na Angola saa 10 jioni, pambano la ukanda wa kusini lenye ladha ya derby. Wakati huo huo, Libya wanapambana na Cape Verde, mechi ya mbinu na kasi. Usiku, Mauritius wanakutana na Cameroon, na Meridianbet imeweka odds zinazompa mchezaji nafasi ya kuchuma mapema. Cameroon wanakuja na mastaa wa Ulaya, lakini je, Mauritius wanaweza kuandika hadithi ya kushtua dunia?

Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za vilabu za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.

Pengine pa moto ni Kundi E, Tanzania wanashuka dimbani saa 4 usiku dhidi ya Zambia katika mechi ya kukata na shoka. Taifa Stars wanahitaji ushindi nyumbani, na Meridianbet imeweka odds tamu kwa wanaoamini katika nguvu ya nyumbani. Mashabiki wa Tanzania wanatarajia magoli, mbinu, na dakika za kutetemesha. Niger dhidi ya Congo pia inachezwa kwa wakati huo, na ni mechi ya kuchanganya kwenye mikeka yako.

Kwenye kundi I, saa 1 usiku, Ghana wanakutana na Central African Republic, Mali dhidi ya Chad, na Comoros dhidi ya Madagascar, mechi tatu za moto zinazofunga siku kwa kishindo. Meridianbet imeweka odds zinazowapa mashabiki nafasi ya kuchagua kwa ujasiri. Kwa wabashiri, hapa ndipo pa kuweka akili.

Kwa mashabiki wa soka na kubashiri, Meridianbet imewasha moto wa kweli. Odds zimepangwa kwa ustadi na kila mechi ni fursa ya kuchuma. Leo, si tu timu zinapambana, hata mashabiki wanacheza mechi yao kupitia mikeka ya Meridianbet.

Leave A Reply