Leo Ni Siku ya Mashujaa: Odds Kali na Burudani za Michezo
Mambo yanazidi kushika kasi barani Ulaya. Na leo mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka kwa ligi tano maarufu. Mechi hizi ni kubwa na zimesheheni mvuto na burudani ya kipekee kwa wapenda soka wote. Vilevile, Meridianbet haikuachi nyuma wewe mbashiri, odds za kipekee zipo kwa ajili yako wewe.
Ndani ya England Premier League, AFC Bournemouth watawakaribisha Fulham katika dimba la Vitality Stadium. Timu zote mbili zinatafuta pointi muhimu ili kujiimarisha katika msimamo wa ligi. Bournemouth walio nafasi ya sita kwenye msimamo wa ligi wanaikuta Fulham iliyotoka kupoteza mchezo wake wa mwisho dhidi ya Aston Villa. Odds kwenye mchezo huu si za masihara kabisa.
Kwa upande wa La Liga, Osasuna watavaana na Getafe katika pambano la kukata na shoka. Mechi hii inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, hasa ikizingatiwa kuwa timu zote zinapigania nafasi za juu kwenye msimamo wa LaLiga. Mashabiki wa soka la Uhispania wanatarajia kuona mbinu kali kutoka kwenye timu hizi za viwango vya kati nchini Hispania.
Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi nyingine nyingi za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#
Bundesliga nayo haikuachi nyuma, Hoffenheim watakua nyumbani wakichuana na wageni FC Cologne. Hoffenheim wanahitaji ushindi ili kurejea kwenye mwelekeo sahihi baada ya matokeo ya kusuasua kwenye michezo miwili ya mwisho, huku Cologne wakisaka alama muhimu ili kupanda mpaka nafasi ya nne ya msimamo wa ligi. Ni mechi ya presha na pesa kwa watumiaji wa meridianbet.
Kwingineko ndani ya Serie A, dimba la Stadio M. A. Bentegodi litakua jukwaa la burudani pale Hellas Verona watakapopambana na Sassuolo. Verona wameanza msimu vibaya wakiwa na sare tatu na vipigo viwili bila ushindi wowote, huku Sassuolo wakiwa wameshinda michezo miwili na kupoteza mitatu. Hii mechi ni ya kuhakikisha inakua kwenye jamvi lako pale meridianbet.
Mchezo mwingine utakua ni nchini Ufaransa ambapo Paris FC watakutana na Lorient katika mechi ya Ligue 1. Paris FC waliopanda daraja msimu huu watakua wanautafuta ushindi wa tatu kwenye mchezo huu, sawa na wapinzani wao Lorient ambao wote kwa pamoja wana alama saba wakitofautiana idadi ya magoli.
Kwa mashabiki wote wa soka, leo ni siku ya kupata burudani na kufurahia vipaji vitakavyoonekana uwanjani, na kwa wale wabashiri, leo meridianbet ipo pamoja na nyie kuhakikisha mnapata ushindi mkubwa kwa odds kabambe.