#Live: Maandamano Ya Chadema, Hali Ilivyo Dar, Polisi Wametanda Kila Kona – Video
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Septemba 23, 2024 jijini Dar es Salaam ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Chadema ilipanga kufanya maandamano hayo kuishinikiza Serikali ya Tanzania kueleza hatua iliyofikia juu ya matukio ya watu kutekwa, kupotea na kuuawa kwa wananchi na makada wake.


