Live: Rais Samia Anashiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za EAC, AICC – Arusha-Video
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) Arusha, leo Julai 21, 2022.