Live: Waziri Mkuu Anashiriki Siku ya Mapambano Dhidi ya Matumizi ya Dawa ya Kulevya-Video
LEO Julai 02, 2022 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki hafla ya maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya duniani, maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika Jijini Dar es saalam.