Magufuli Aomba Watanzania Kujihadhari na Corona -Video

RAIS John Magufuli leo Machi 13, 2020 amewaomba Watanzania kuzingatia tahadhari dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona kwa kuwa hakuna dawa ya kutibu ugonjwa huo bali kinachotibiwa ni dalili tu.
Ameyasema hayo akizindua karakana ya matengenezo ya magari na mafunzo ya ufundi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyopo Lugalo Jijini Dar es Salaam


Comments are closed.