The House of Favourite Newspapers

Majaliwa azungumza na wadau wa michezo nchini‏

0
IMGS4385

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa michezo nchini kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Februari 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMGS4343
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akipata maelezo kuhusu michoro ya viwanja vya ndani vinavyotarajiwa kujengwa pembeni mwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kutoka wa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ( watatu kulshoto) na katibu Mkuu wake Profesa Elisante Ole Gabriel (wapili kushoto) wakati alipozungumza na wadau wa michezo kwenye uwanja wa taifa Februari 17, 2016.
IMGS4388
 Baadhi ya wapenzi na viongozi wa michezo nchini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza na wadau wa michezo nchini kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Februari 17, 2016. IMGS4422Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na wadau wa michezo nchini baada ya kuzungumza nao kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Februari 17, 2016.
IMGS4403
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa michezo nchini baada ya kuzungumza ao kwenye uwanja wa taifa jijini dar es salaam Februari 17, 2016.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Leave A Reply