The House of Favourite Newspapers

Makete Yatangaza Nafasi 12 za Kazi kwa Kada ya Udereva

Halmashauri ya Wilaya ya Makete kupitia Kibali cha Ajira mpya chenye Kibali chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 chenye kada ya Dereva Daraja la II nafasi (12) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete anawatangazia nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wote wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama iliyoainishwa hapo chini:-

-DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 12

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07/08/2025

Comments are closed.