Mama Aangua Kilio Mateso ya Mwanaye – Video

Bi Mwanahawa Iddi mkazi wa Mwananyamala kwa Kopa jijini Dar es Salaam mwenye umri wa 27 ambaye amekuwa akipitia changamoto ya kiafya na kusababisha yeye kushindwa kufanya kazi yoyote itakayomwezesha kujiingizia kipato chakujikimu kimaisha.
Global TV Online imefanya naye mazungumzo nakueleza yale yamayomsibu huku akiomba msaada kwa Watanzania wenye mapenzi mema na wasamaria wema kutoka kokote duniani wamsaidie kwaajili ya matibabu.

