The House of Favourite Newspapers

Maria Sarungi Adaiwa Kutekwa Na Noah Nyeusi Nairobi – Video

0
Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania, Maria Sarungi

Taarifa zilizotufikia hivi punde, zinadai kuwa mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania, Maria Sarungi ametekwa leo, Januari 12, 2025 katika Eneo la Chaka Kaunti ya Kilimani jijini Nairobi nchini Kenya.

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International nchini Kenya limeripoti kuwa Maria ametekwa na watu watatu wenye silaha wakiwa na gari aina ya Noah nyeusi muda wa saa tisa na robo alasiri.

Leave A Reply