Mbio za Ubingwa EPL 2025/26 Arsenal, City au Mshangao Mpya?

Huku EPL ikizidi kuwaka moto, ndipo na wewe unapata nafasi nzuri ya kupata mkwanja wako na Meridianbet leo. Mechi kibao zikiendelea kupigwa andaa jamvi lako la ushindi na ubashiri na wakali hawa siku ya leo.
Kuna zile timu zinazozorota mkiani akianza na Wolves ambao msimu huu umekuwa mbaya sana kwao kwani mpaka sasa kwenye mechi 14 ambazo ameambualia pointi 2 pekee na kupoteza mechi 14 hadi sasa. Leo hii atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Manchester United ambao wanataka ushindi kwa hali na mali.
Licha ya kumtimua kocha wao Pereira bado timu imekuwa haina matokeo mazuri kwenye ligi msimu huu huku wakiwa ndio vibonde wa ligi hadi sasa. Je msimu huu unaiona wapi Wolves?. Inaweza ikabaki EPL au itashuka daraja?. Beti mechi zote na Meridianbet leo.
Nao Burnley ni moja ya timu ambazo zipo mkiani kwenye EPL kwani mpaka sasa wamechukua pointi 10 pekee wakishinda mechi zao 3 pekee hadi sasa huku wakipoteza mechi 11. Timu hii ikumbukwe imepanda daraja msimu huu hivyo ina kazi kubwa ya kupambania ili waweze kubaki ligi kuu msimu ujao. Je Burnley inawez ikabakia na kuendelea kukipiga EPL msimu ujao?. Jisajili na ubeti na meridianbet sasa.

Bahati yako ipo kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Nafasi nyingine ya timu zenye hali mbaya inakwenda kwa West Ham United ambao wao wapo nafasi ya 17 wakiwa na pointi 13 hadi sasa huku wakipambania kubaki EPL msimu huu. Timu hii hadi sasa malengo yaliyobaki na kupambania kutoshuka daraja msimu huu kwani kwa ligi ilivyo msimu huu wasipofanya jitihada wanaweza kujikuta wananagukia Championship.
Na kwa timu ambazo zipo kwenye mbio za ubingwa anayeongoza kileleni pale ni Arsenal chini ya kocha Mikel Arteta ambao msimu huu ulianza vizuri kwao kabisa huku ikiwa ni moja ya timu ambayo inapigiwa chapuo kuchukua taji hili hadi sasa lakini presha imezidi kuwa juu baada ya kupoteza mechi yake iliyopita. Na hivyo kufanya wawe tofauti ya pointi mbili pekee dhidi ya City.
The Gunners wana miaka 22 hawajachukua taji hili na msimu huu wanalenga kuchukua matji hayo ikiwemo pia wapo kileleni kwenye msimamo wa UEFA. Kwa upande wa Manchester City chini ya Pep Guardiola licha ya kuwa na matokeo mchanganyiko wameendelea kufanya vizuri huku wakishika nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi na baadhi ya wachezaji wakizidi kuimarika chini ya kocha huyo mwenye mafanikio kwenye mpira.
Chelsea nao ni kama hawana mwendelezo mzuri wa matokeo, kwani mechii wanakupa mechi nzuri, mechi ijayo wanacheza kama sio wao hivyo kutokana na hilo bado nafasi yao ya kutetea taji hili ni ndogo mno. Kwenye pointi 9 hadi sasa The Blues wamekusanya pointi 2 pekee. Je chini ya Enzo Maresca vijana hawa wa Darajani wanweza kupamabania ubingwa wa EPL?. Jisajili na ubeti hapa.
Bingwa mtetezi, Liverpool mambo yamezidi kuwa mabaya kwa upande wake licha ya kufanya usajili wa wachezaji wakubwa akiwemo Wirtz, Frimpong, Alexander, Ekitike na wengine kibao lakini hali ni mbaya. Kwenye mechi 15 ambazo amecheza hadi sasa amepoteza mechi 7 akikusanya pointi 23 hadi sasa huku baadhi ya wachezaji kama Mohamed Salah akionekana kutohitajika kwenye timu hiyo hadi sasa baada ya kukaa benchi mechi 3 mfululizo.
Kocha Arne Slot ndani ya kikosi hicho haonekani msimu huu kutetea taji hilo kwani ligi hii imekuwa ya ushindani sana kila mechi imekuwa ngumu kwao kwani mechi iliyopita licha ya uongozi wa mabao mawili kule ugenini mchezo uliisha kwa sare ya 3-3. Je Liver msimu huu wataishia nafasi ipi? Bashiri na Meridianbet siku ya leo.
Nao Manchester United chini ya Ruben Amorim wanasema wapo kwenye mbio za EPL kwani mpaka sasa wao na kinara wa ligi utofauti wao ni 11 ambapo yeye leo hii yupo dimbani kusaka ushindi dhidi ya Wolves ambao mpaka sasa hawana ushindi kwenye mechi yoyote. Klabu hii yenye historia Duniani miaka ya hivi imetoka kwenye timu zenye ushindani wa EPL kutokana na matokeo ambayo wamekuwa wakiyapata.
Mtanange wa leo endapo atashinda United atasogea hadi nafasi ya 6 kutoka nafasi ya 12. Lakini anakutana na Mbwa Mwitu ambao wanahitaji ushindi siku ya leo. Lakini swahili je vijana wa Amorim watakubali kupoteza dhidi ya timu ambayo haijawahi kushinda?. ODDS KUBWA zipo Meridianbet.
Timu nyingine ni hii ya vijana wa Unai Aston Villa ambao ni moja ya timu ambayo ilianza na matokeo ya kukatisha tamaa kabisa kwani kwenye mechi 5 za kwanza za EPL hata kufunga goli ilikuwa ni shida sana, lakini kwasasa wapo nafasi ya 3 wakiwa na pointi zao 30. Villa wapo nyuma pointi 3 dhidi ya kinara wa ligi huku kocha Unai akizidi kuipika timu hiyo iwe yenye ushindani mkubwa kabisa.
Hizo ni timu ambazo mpaka sasa zipo kwenye mbio za ubingwa ligi kuu ya Uingereza (EPL). Je mpaka sasa nani unamuona anaenda kuchukua taji hili la EPL simu huu mpya wa 2025/26?. Endelea kufanya ubashiri na Meridianbet.

