The House of Favourite Newspapers
gunners X

Mbunge Amlipua Mkuu wa Mkoa Hadharani – Video

MBUNGE wa Chadema wa Jimbo la Mlimba, Susan Kiwanga, ametoa hoja yake bungeni kuhusu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt Steven Kebwe, kwa kutoitisha vikao vya bodi ya barabara hali iliyopelekea mkoa huo kuwa na miundombinu mibovu ya barabara.

VIDEO: MSIKIE AKITOA POVU LAKE

Comments are closed.