Mkurugenzi Wilaya ya Rombo Atangaza Nafasi za Kazi

Halmashauri ya Wilaya ya Rombo imepokea kibali cha ajira mpya kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Kupitia kibali hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo anatangaza nafasi na anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa kujaza
nafasi zifuatazo :-


