MoCU Yatangaza Nafasi za Kazi za Kitaaluma, Moshi na Shinyanga
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki ili kuzingatiwa kwa ajira katika nafasi mbalimbali za kazi za kitaaluma zilizopo katika Kampasi Kuu iliyoko Moshi na Taasisi ya Ushirika na Elimu ya Biashara Kizumbi (KICoB) iliyoko Shinyanga.
Comments are closed.