Mtoto wa Ajabu Anayeombea na Kuponya – Video
BAADA ya hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii mtoto Ibrahim amekuwa gumzo sana na amewashangaza watu wengi kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuhubiri Injili na kuwaombea watu wenye matatizo mbalimbali yakiwemo magonjwa, biashara na maisha kwa ujumla.
Baada ya kuona Mtoto Ibrahim anazaidi kugusa hisia za watu wengi, Global TV ikaamua kufunga safari hadi nyumbani kwao mkoani Arusha kwa ajili ya kwenda kushuhudia maajabu ya mtoto huyo na kumkuta akiendelea na ibada.
Comments are closed.