Mtoto wa Faiza Ally Afunguka Mazito Juu ya Mama na Baba Yake – Video
Mtoto wa mwanadada mjasiriamali na staa wa mitandaoni, Faiza Ally @iamfaizaally, aliyezaa na mkongwe wa Bongo Fleva na mwanasiasa mashuhuri, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Sasha amesema mama yake ni strong (imara) na independent (anayeweza kujitegemea) na kwamba comments zisizofaa mitandaoni huwa hazimsumbui.
Sasha amesema mama yake huwa anajitahidi kuwa imara na kuwasimamia wanaye hata watu wanapokuwa wanamzungumzia vibaya.