The House of Favourite Newspapers

Muigizaji Mkongwe “Cloud” Awasili Nchini, Kuungana na Mashabiki Yanga Day – Video

0

Muigizaji mkongwe na maarufu wa filamu za BongoMuvi, Issa Musa maarufu kama “Cloud”, jana mchana amewasili nchini akitokea London, Uingereza, ambako anaishi na familia yake huku akiendelea kufanya kazi nchini Sweden.
Cloud, ambaye amekuwa akiishi ughaibuni kwa zaidi ya miaka 15, amesema ziara yake Tanzania inalenga kushiriki katika sherehe za Siku ya Wananchi maarufu kama Yanga Day.

Mbali na hilo, amezungumzia hali ya tasnia ya filamu nchini na kueleza kwa undani ukaribu wake na muigizaji mkongwe Mzee Magari.

Leave A Reply