The House of Favourite Newspapers

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Songea, Mwisho wa maombi Julai 24

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea amepokea kibali cha Ajira Mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Hivyo, Mkurugnenzi wa Manispaa ya Songea anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa kujaza nafasi hizo kama ifuatavyo

Comments are closed.