Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Mkuranga, Mwisho wa maombi Julai 28
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga imepokea kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kwa nafasi ya Dereva Daraja la II na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi kama
ilivyoorodheshwa katika tangazo hili:
Comments are closed.