The House of Favourite Newspapers

Nafasi za Kazi Wilaya ya Mvomero, Sumbawanga, Wilaya ya Tanganyika na Wilaya ya Mlele

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Manispaa ya Sumbawanga, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika na Halmashauri ya Wilaya ya Mlele wamepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-

1. NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMERO

2. NAFASI ZA KAZI 11 HALMASHAURI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA 

3. NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

4. NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE

Comments are closed.