Nafasi Za Kazi Nane (08) Ofisi Ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge Na Uratibu
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera,Bunge na Uratibu anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi nane (08) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 05 June, 2025
Comments are closed.