Nandy Akiwasili Sentro kwa Tuhuma za Kutoa Video Chafu

Mwanadada Faustina Charles ‘Nandy’ leo ameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central) kufuatia kesi ya kuposti video chafu kwenye mitandao ya kijamii. Mbali na Nandy, msanii Diamond Platnumz naye jana aliwasili kituoni hapo akiwa na kesi sawa na inayomkabili Nandy na baadaye aliondoka.
Hivi karibuni, Nandy alipost video chafu akiwa na msanii mwenzake, Billnas na kuzua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii Bongo.
PICHA NA DENIS MTIMA/GPL
Comments are closed.