The House of Favourite Newspapers

Nay wa Mitego – Mwaka wa Roho Mbaya (Official Video)

RAPA maarufu Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ ambapo kwenye mashairi ya wimbo huo kafunguka mambo kibao ikiwemo Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).

Ndani ya ngoma hiyo, Nay amesema “Huu ndio mwaka wenye utata unatoa ngoma ina-hit halafu inasifiwa na BASATA”.

Ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC

Comments are closed.