×

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Mei 1, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 1, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Waziri Kijaji : Changamkieni Fursa za SELF MF

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dr. Ashatu Kijaji amewataka wananchi wa mkoani Morogoro na watanzania wote kwa ujumla kuchangamkia...

READ MORE

Yanga na Simba Hakuna Mbabe, Vita ya Inonga na Mayele Yawa Kivutio

  PAMBANO la watani wa jadi kati ya Yanga ambaye alikuwa mwenyeji na Simba limemalizika kwa matokeo ya sare ya...

READ MORE

Uamuzi wa Uber Kujitoa Tanzania, Madereva wa Tax Waibuka na Kuzungumza – Video

SIKU chache baada ya kampuni ya ubber kusitisha huduma zao nchini, baadhi ya madereva wa jiji la Dar es salaam,...

READ MORE

Gazeti la Championi Latoa zawadi za Tiketi kwa Mashabikiwa Simba/Yanga

Mashabiki wa Simba na Yanga wamiminika uwanja wa Benjamin Mkapa kushudia mechi Kali kati ya Simba na yanga katika mwendelezo...

READ MORE

Putin, Zelensky na Biden Kukutana Uso kwa Uso Mkutano wa G20

RAIS mahasimu wanatarajiwa kukutana katika mkutano wa nchi 20 zenye uchumi mkubwa duniani G20 unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu....

READ MORE

Paula Afunguka Mapya Atoa Kijembe “Labda Nife Ndo Mama Amrudie Harmonize”

Paula Kajala; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) na ni binti wa mwigizaji wa Bongo Movies, Kajala Masanja...

READ MORE

Odemba Adaiwa Kumbemenda Msanii wa Konde Music, Afunguka Mapya

Miriam Odemba; ni mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania mwenye umri wa miaka 40 ambaye amegonga vichwa vya habari akidaiwa kumbemenda...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Aprili 30, 2022 …Yanga vs Simba Kitawaka

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 30, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Uzinduzi The Royal Tour Arusha… Wema Atamba “Tumerudi Enzi Zetu za Filamu”

  Wema Isaac Sepetu siku hizi wanamuita Last Born (Kitindamimba au Mziwanda) wa Taifa; ni miongoni mwa mastaa wa Bongo...

READ MORE

Ripoti Inaonesha Wanawake Wanaongoza kwa Magonjwa ya Ngono Meatu

Kamati ya Ukimwi Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, imesema kuwa katika Wilaya hiyo takwimu zinaonyesha uwepo wa idadi...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Atoa Heshima za Mwisho Akiaga Mwili wa Mwai Kibaki

Rais Uhuru Kenyatta ameongoza maelfu ya Wakenya katika maombolezo ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Mwai Kibaki leo...

READ MORE

Salah Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa Mwaka nchini Uingereza

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Liverpool raia wa Misri Mohamed Salah ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligi Kuu...

READ MORE

Mafuriko Yakata Mawasiliano Mufindi, Yakatisha Masomo kwa Wanafunzi

ZAIDI ya ekari 20 za mashamba yenye mazao mbali mbali katika kijiji cha Kitasengwa kata ya Makungu wilaya ya Mufindi...

READ MORE

Mbio za Top 4 na Ubingwa Kutawala Viwanjani, Meridianbet Tunakupatia Odds na Bonasi Kubwa Wikiendi Hii!

Wakati tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwezi April na kuukaribisha mwezi Mei wikiendi hii, ligi kuu soka nchi mbalimbali nazo zinaelekea...

READ MORE

Promota Semunyu: Selemani Kidunda Dhidi ya Tshimanga Katompa Rasmi Julai 30 Songea

  PROMOTA wa mapambano kutoka Kampuni ya Peak Time Media (PTM), Meja Seleman Semunyu ameweka wazi rasmi kuwa pambano la...

READ MORE

Picha: Shuguli ya Mazishi ya Kitaifa ya Rais wa Zamani wa Kenya Emilio Mwai Kibaki

MAZISHI ya kitaifa yanafanyika leo Ijumaa kwa ajili Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki aliyefariki wiki moja iliyopita akiwa...

READ MORE

Manara Atema Cheche Adai Wachezaji wa Kitanzania Hawajitambui – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara kupitia kipindi cha Krosi Dongo kinachorushwa na 255globalradio na Global TV amesema kumekuwa...

READ MORE

HADITHI YA KUSISIMUA: THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 8

MTUNZI: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 ILIPOISHIA: Ghafla niliinuka huku ‘bomba’ likiwa mkononi, kidole kikiwa kwenye ‘trigger’, nikazichekecha kwa mtindo wa...

READ MORE