×

Waziri Mkuu wa Uingereza Kikaangoni, Hatima Yake Kujulikana Leo

WAZIRI MKUU wa Uingereza Boris Johnson anatarajiwa kupigiwa kura ya kukosa Imani na wabunge wa Chama chake cha Conservative.  ...

READ MORE

Burundi na Cameroon Kuumana kwa Mkapa, Manara Apewa Uhamasishaji

TIMU ya Taifa ya Burundi inatarajia kukabiliana na Timu ya Taifa ya Cameroon katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar...

READ MORE

Hatimaye Kajala Amjibu Harmonize, Mashabiki wa Konde Boy Watoa ya Moyoni

KAJALA Masanja au Mama Pau; ni staa mkubwa wa filamu nchini Tanzania mwenye umri wa miaka 40 (amezaliwa Julai 22,...

READ MORE

Nafasi za Kazi 48 HESLB, Loan Officer Grade II

POST LOAN OFFICER GRADE II – 48 POST EMPLOYER Higher Education Student Loan Board (HESLB) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-05 2022-06-18 JOB...

READ MORE

Watu 50 Nchini Nigeria Wahofiwa Kuuawa Wakiendelea na Ibada

ZAIDI ya watu 50 wanahofiwa kufariki baada ya watu watano waliokuwa na silaha kuwafyatulia risasi waumini wa Kanisa la Mt....

READ MORE

Serikali ya Zimbabwe Yakanusha Madai ya Wananchi Wake Kuuza Vidole

SERIKALI ya Zimbabwe imekanusha madai yanayoenea kwamba raia wake wamekuwa wakiuza baadhi ya vidole vyao vya miguu ili kupata mamilioni...

READ MORE

Mtendaji Azilongwa Amuunga Mkono Rais Samia na Royal Tour

MTENDAJI wa Kata ya Huzi Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Azilongwa Bohari akiwa na Vijana wenzake wa UVCCM wametembelea Ngorongoro...

READ MORE

Wananchi Tabora Wachangamkia Vyeti vya Kuzaliwa vya Watoto

  Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Angela Anatory ametembelea na kukagua vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya mama na mtoto na...

READ MORE

LIVE: MAMBO NI MOTO BUNGENI, WABUNGE WANAIBANA SERIKALI KWA MASWALI MAZITO -VIDEO

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake leo Juni 6, 2022. Wabunge wanaibana serikali maswali mazito...

READ MORE

Uingereza Yatuma Mtambo wa Makombora ya Roketi Nchini Ukraine

NCHI ya Uingereza kwa mara ya kwanza imepuuza vitisho vya Rais wa Urusi Vladimir Putin na kuamua kutuma mtambo maalum...

READ MORE

Mshahara Kocha Mpya Simba Kufuru, Amfunika Pablo, Ishu Yake Ipo Hivi… Soma Hapa

  BAADA ya mabosi wa Simba kukamilisha mazungumzo na Kocha wa APR ya Rwanda, Mohammed Erradi Adil raia wa Morocco,...

READ MORE

Wanahisa Benki ya NMB Waidhinisha Gawio Bil. 96.7

  Wanahisa wa Benki ya NMB wameidhinisha gawio la Sh 96.7 bilioni kwa mwaka 2021, huku wakiwa na imani kubwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Mrithi wa Pablo Simba Apewa Masharti Mazito, Akubali Kufanya Vizuri Kimataifa

  IKIWA kwa sasa Simba wanasaka nafasi ya mrithi wa Pablo Franco aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, mabosi wa...

READ MORE

Tundu Lissu na Godbless Lema Watangaza Kurejea Nchini Muda Wowote Kufanya Kazi ya Siasa

  Makada wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Godbless Lema wamesema wanarudi nchini Tanzania muda...

READ MORE

Namna ya Kucheza, na Kushinda Keno Meridianbet! Cheza kuwa Miongoni mwa Mamilionea!

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Huu ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua...

READ MORE

ZIC, Wadau Wandesha Mafunzo ya Bima

Zanzibar; Mei 5, 2022: Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) kwa kushirikiana na wadau wengine visiwani humo limeendesha mafunzo ya kujenga...

READ MORE

Waziri Mkuu Akemea Utiririshaji wa Maji Machafu kutoka Viwandani na Kwenye Migodi

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amekemea tabia ya utiririshaji wa maji machafu na majitaka kutoka viwandani na kwenye migodi kwani...

READ MORE

MO Dewji Aanza na Pacha wa Inonga Simba Akitokea Cape Town City ya Afrika Kusini

  INAELEZWA kuwa, Rais wa Heshima wa Simba, ambaye pia ni mwekezaji wa klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameingilia usajili...

READ MORE

Kim Kiduku: Mkorea Mbabe wa Makombora ya Nyuklia Yanayoitikisa Marekani -Video

  Kim Jong Un, ni rais mbabe kutoka Korea ya Kaskazini. Ni mbabe kwelikweli. Anachojivunia zaidi ni makombora ya nyuklia...

READ MORE