×

Live: Utapenda , Ufundi Wa Lody Music Akipiga Live Awatuliza Nandy |Diamond |Dsm Flavour

 KARIBU kusikiliza kipindi pendwa cha burudani cha DSM FLAVOUR, Leo tumetembelewa na msanii wa bongo fleva Mimi Mars ambaye...

READ MORE

Umoja wa Waandishi Wanawake wa Binti Shupavu Wagawa Taulo za Kike na Kutoa Somo

    UMOJA wa waandishi wa habari wanaounda kundi la Binti Shupavu wametoa wamezungumza na mabinti wa Shule ya Msingi...

READ MORE

Nafasi za Kazi 8 MDAs & LGAs, Msaidizi Ustawi wa Jamii Daraja la II

POST MSAIDIZI USTAWI WA JAMII DARAJA LA II – 8 POST EMPLOYER MDAs & LGAs APPLICATION TIMELINE: 2022-05-28 2022-06-07 JOB...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Juni 5, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 5, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

SBL Kuwawezesha Vijana Kushiriki Kwenye Sekta ya Kilimo

    Kampuniya Bia ya Serengeti (SBL) imesema itaendelea kuwawezesha vijana ili waweze kuwa na ushiriki mpana zaidi katika kilimo....

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Baada ya Mkataba Kuisha, Pogba Aondoka na Sh bilioni 11 Man United

IMEFICHUKA kuwa Paul Pogba ataondoka na bonasi ya pauni milioni 3.78 (Sh bilioni 11) atakapoachana na Manchester United mara baada...

READ MORE

Carroll Anaswa na Mchepuko Siku Chache Kabla ya Ndoa

STRAIKA Muingereza, Andy Carroll, amepigwa picha akiwa chumbani kitandani kimahaba na mrembo mmoja, zikiwa zimebaki wiki mbili tu kabla ya...

READ MORE

Khadija Kimobitel: Nimenunua Vyombo na Muda si Mrefu Nafungua Bendi

MWANAMUZIKI Mkongwe wa Dansi aliyewahi kutamba na kundi la Twanga Pepeta Khadija Kimobitel amesema tayari amefanikiwa kununua vyombo pamoja na...

READ MORE

Rayvanny Afunguka Adai Nyumba Aliyoichoma Ilikuwa Nyumba ya Mchongo

RAYVANNY au Vanny Boy; ni staa mwingine mkubwa wa muziki nchini Tanzania ambaye amewafanya watu kuzungumza kwenye mitandao tofauti ya...

READ MORE

Viongozi wa Skauti Wakutana na Waziri wa Elimu, Kufanyika Mkutano Mkuu Julai

  Mkutano Mkuu wa SKAUTI umepangwa kufanyika tarehe 2 Julai 2022 Jijini Dodoma ukiwa na agenda kubwa ya uchaguzi Mkuu...

READ MORE

Try Again Ajinadi, Adai Simba Inajipanga Upya Kufanya Vizuri Msimu Ujao

SALIM ABDALLAH maarufu ‘Try Again’ Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba ambaye amefunguka mengi juu ya timu...

READ MORE

Yanga Yapania Kufanya Makubwa Kimataifa, Yaanza Harakati za Usajili

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umeelezea mikakati yake kuelekea msimu ujao kuwa ni kufanya vizuri kwenye michuano ya ndani na...

READ MORE

Kroos, Alaba Wafichua Siri ya mafanikio ya Real Madrid

REAL Madrid ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) na Supercup ya Hispania msimu...

READ MORE

Madiwani wa Viti Maalum Dar, Wacharuka Kupinga Ukatili wa Kijinsia Nchini(PICHA+VIDEO)

  MADIWANI wa vita maalum katika Mkoa wa Dar es Salaam wamesimama kidete kupinga ukatili unaoendelea dhidi ya watoto wakiomba...

READ MORE

Mchezaji wa Tottenham Hotspurs Anusurika Kuuawa Kwa Risasi

BEKI wa Kulia wa Tottenham Hotspurs raia wa Brazil Emerson Royal (23) amenusurika kuuawa kwa risasi baada ya kuvamiwa na...

READ MORE

Mauaji ya Kikatili Yamzeesha Mkuu wa Wilaya ya Njombe

MKUU wa Wilaya ya Njombe ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Kissa Kasongwa ametangaza vita kwa...

READ MORE

Mrembo Afariki Akifanyiwa Sajari ya Kuuboresha Mwili Wake Lagos, Nigeria

Crystabel; ni mrembo slay queen maarufu jijini Lagos nchini Nigeria ambaye anadaiwa kufa hospitalini alikokuwa amekwenda kufanya sajari ya kuuboresha...

READ MORE

Zuchu Apambania Kombe Kwa Diamond, Aoneshana Mahaba Mazito Bila Woga

  Zuhura Othman wengi wanamjua kama Zuchu; ni malkia mpya wa muziki nchini Tanzania ambaye ameapa kupambania kombe kwa bosi...

READ MORE

Nafasi za Kazi 2 NAOT, Fani ya Utengenezaji wa Programu za TEHAMA (PROGRAMMING)

POST FANI YA UTENGENEZAJI WA PROGRAMU ZA TEHAMA II(PROGRAMMING) – 2 POST EMPLOYER National Audit Office (NAOT) APPLICATION TIMELINE: 2022-05-27...

READ MORE