×

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Maaskofu Watuma Ujumbe Mzito Kwa Rais Samia, Wataka Haki Itendeke | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini.

READ MORE

Watu 47 Wafariki Nchini Afghanistan Baada ya Shambulio la Anga Kutoka Pakistan

JUMLA ya watu 47 wameripotiwa kufariki nchini Afghanistan katika majimbo ya Khost na Kunar yanayopatikana mashariki mwa nchi hiyo na...

READ MORE

Kocha wa Orlando Acharuka, Adai Klabu yake Haikustahili Kufungwa na Simba

KOCHA wa Orlando Pirates Mandla Ncikazi amesema klabu yake ya Orlando Pirates haikustahili kufungwa katika mchezo huo kutokana na kwamba...

READ MORE

Mambo ni Moto Yanga… Kaze na Injinia Hersi Wamshusha Bigirimana kwa Mil 400

WAKATI Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Injinia Hersi Said na Kocha Msaidizi, Cedric Kaze wakienda Rwanda kukamilisha...

READ MORE

Mufti Wa Tanzania Ashiriki Iftari na Wateja wa Nmb

  Kwa kutambua thamani ya Wateja wao na umuhimu Mwezi wa Ramadhani, Benki ya NMB imeshiriki Futari na Wateja na...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Aprili 18, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 18, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Simba Yaitandika Orlando Pirates 1-0, Sasa Kujiandaa na Mechi ya Marudiano Wiki Ijayo

KLABU ya soka ya Simba imefanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Klabu ya Orlando Pirates ya nchini Afrika...

READ MORE

Chelsea Yafanikiwa Kutinga Fainali ya FA, Kumenyana na Liverpool Mwezi Mei

KLABU ya Chelseas imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la FA baada ya kuifunga Crystal Palace kwa jumla ya mabao 2-0....

READ MORE

Baada ya Bigirimana… Chuma Kingine Kinatua Yanga Polisi FC Kutoka Rwanda

BAADA ya Yanga SC kuwa na wakati mzuri wa kuipata saini ya kiungo wa Kiyovu ya Rwanda, Obed Bigirimana, inaelezwa...

READ MORE

TFF yafanya kweli Beach SOCCER, Friends of Mkwajuni Yaanza kwa Kishindo

  MICHUANO ya Tanzania Football Federation Beach Soccer Super League, imeendelea kulindima jioni ya leo katika eneo la Coco Beach,...

READ MORE

Yanga Yakubali Kuishangilia Simba Uwanja wa Mkapa leo Dhidi ya Orlando

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umesema leo Jumapili utakuwepo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kwa ajili ya kuisapoti Simba itakapokuwa...

READ MORE

Morrison Aonywa Kuhusu VAR Uwanja wa Mkapa, Dar Leo Dhidi ya Orlando Pirates

KUFUATIA kutumika kwa mara ya kwanza mfumo wa video wa kumsaidia mwamuzi (VAR) hapa Tanzania katika mchezo wao wa leo...

READ MORE

Serikali ya Zanzibar Kufanya Uchunguzi Madai ya Mtalii Anayedai Kudhalilishwa Kingono

  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia kamisheni ya utalii, imesema uchunguzi wa madai ya mtalii kutoka Nigeria, Zainab Oladehinde anayedai...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi ICAP, Site Support Officer (Multiple Positions), Application Close: Apr 25 2022

Site Support Officer (multiple positions) Job no: 495670 Position type: Regular Full-Time Location: Tanzania – Mwanza Division/Equivalent: Tanzania School/Unit: Implementation...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa New York Marekani

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 17, 2022 amefanya mazungumzo na  Naibu Katibu...

READ MORE

Sakho Aipa Jeuri Simba Dhidi ya Orlando Pirates Kombe la Shirikisho Leo Kwa Mkapa

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, ameweka wazi kuwa, kikosi hicho kitaibuka na ushindi katika mchezo wao wa leo...

READ MORE

Makamu wa Rais na Mkewe Washiriki Ibada ya Pasaka Katika Kanisa Katoliki Maria Theresa

Leo Aprili 17, 2022 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango na mke wake,...

READ MORE

Vikosi vya Ukraine Mji wa Mauripol Vyatakiwa na Urusi Kujisalimisha Leo

Urusi imesema kuwa itahakikisha kunakuwa na usalama wa maisha ya wanajeshi wa Ukraine katika Mariupol wanaojisalimisha watakaojisalimisha katika kipindi cha...

READ MORE

Kijana Kutoka Congo Ang’ara Mashindano Makubwa Zaidi Ya Qur’an Afrika 2022 – Video

Thiame Bouna kutoka Congo Brazaville, ameibuka mshindi katika mashindano makubwa zaidi barani Afrika ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu yaliyofanyika...

READ MORE